Ivona Kamntu - Mtangazaji anayemiliki vyema kamera

acheni majungu, mti wenye matunda ndio upigwao mawe, anaweza tena anaweza sana ,hiyo ndio staili yake na yupo kivyakevyake, mnataka afanane na nani? watoto wa kiume mnakuwa kama wake wenza. semeni mnachotaka kusema sio kuleta hoja zisizo na mashiko. Big mama, songa mbele, uko bomba, na unaweza. mi huwa natamani usimalize kusoma habari kwa jinsi ninavyokukubali
 
Mimi kuna dada mmoja wa star tv alikuwa anaitwa Joan Itanisa alikuwa ni mrembo sana yaani nilikuwa nikimuona mapigo ya moyo yanabadilika ghafla yanakuwa kama pikipiki ya mchina.Kiukweli dada alikuwa mrembo halafu alikuwa hana maringo kabisa.
TV inadanganya sana.nilipokutana naye mwanza madukani nikajisemea "aaaaah!kumbe TV inadanganya".
 
acheni majungu, mti wenye matunda ndio upigwao mawe, anaweza tena anaweza sana ,hiyo ndio staili yake na yupo kivyakevyake, mnataka afanane na nani? watoto wa kiume mnakuwa kama wake wenza. semeni mnachotaka kusema sio kuleta hoja zisizo na mashiko. Big mama, songa mbele, uko bomba, na unaweza. mi huwa natamani usimalize kusoma habari kwa jinsi ninavyokukubali

Liite koleo kwa jinalake, mila na desturi zetu lazima zizingatiwe.

Hatuna nia mbaya bali tunadondoa mapungufu yake ili aboreshe zaid tija na hamasa ya watazaji wa star tv.

kukunja ndita na kusinzia jicho moja huku akipiga mapozi ya kujinyonga nyonga na kuvuta maneno bila mpangilio ndiyo mtindogani wa utangazaji?

Kukosolewa ni jambo la kawaida, ajirekebishe.
 
Halafu pia ana katabia ka kukasirika hovyo hovyo sana akiwa mbele ya kioo cha star tv.
Kwa kweli huyu dada ni mwingi wa mashauzi halafu ana mambo ya uswahilini sana.
Meno akenue, midomo aibinue, ndita azikunje, nywele hajui kusuka, etc.
 
Ni kweli Ivona Kamuntu ana sura ya kuvutia tena sana tu! Ila utangazaji wake uko chini ya utangazaji wa magwiji kama
Salim Kikeke wa BBC. Kitu nisichokipenda kwa Ivona ni sauti yake ya kung'aka.
 
Jamii Forum, ni vizuri msiruhusu threads za kuwajadili watu wenye maisha binafsi, kwasababu watoa maoni hapa wanatumia fake names, hivyo wana license ya kutukana, kukashifu na hata kuharibu maisha ya mtu kwa kuweka udhalilishaji wa kudumu kwenye internet, kama walivyomfanya Manono yule hakimu na hata huyu dada. Waache kabisa, mtu akitaka kujadili rafiki yake aweke kwenye facebook yake. Thanks.
kusema ukweli, havutii kama mwanamke anayetia mvutoo kwa mwanaume, sipendi mimeno yake,labda walimwambia kuwa meno yake mazuri hivyo wakati wote anayaanika kama. labda kama take away, ila kwangu mimi huyu si wa kuweka ndani. however, kipenda roho hula nyama mbichi. ushauri wangu kwake, jaribu kuvaa nguo kama hizo muda mwingi, jichanganye na wanawake wenzio zaidi, halafu usiongee polepoleee, muda wa tv ni money, unavyozidi kuongea polepole ndivyo unavyosababisha hasara na kupunguza mapato. samahani lakini kama nitakukwaza.
 
Namjua nimtangazaji wa StarTv,ila hasa ni nani huyu na kwa nini kajadiliwa sana hivi?.Nilishawai kugombana na kingasti wangu eti kisa niliweka picha yake kwenye simu yangu kama wallpaper,na hii nikutokana na kumkubali coz na yeye anajikubali tena sana,ila hii mada imenipa wasi2 why wa2mme mkomalia hivi anakitu gani hasa tofauti na hzo tuhuma nilizosoma?.KAMUNTU IVON why why?.naingia chimbo nichimbue about yeye.
 
Yvonna kamuntu ni mtangazaji wa ukwel kutoka moyoni mwangu sitaka kusema uongo;yvonna fanya kazi ninakupenda ninapokuona kwa tv achana na majitu(majuha) yenye roho ya kutu coz nayo yapo kwenye jamii yetu hayaishi hadi kiama!mungu ibariki startv iendelee kung'arishwa na watangazaji hodar kama yvonna kamuntu na samadu hassan!
 
Back
Top Bottom