Ivona Kamntu - Mtangazaji anayemiliki vyema kamera

Wekeni na picha basi tumuone... Wengine huwa hatuangalii hao ma TVCCM


photo.jpg


2011-12-12%2B23.09.52.jpg


source: Google
 
Anaongea km amejaza vitumbua mdomoni

Wewe ndo tuko pamoja mkuu! Mtu anaongea utafikri ana meno 42? Eti kuna watu wanamsifia urembo! Ukiambiwa kupeleka warembo utapeleka yule? Ama kweli "beauty is in the eyes of the beholder!" Afadhali kale ka Shemweta!
 
Mi nilikuwa nataka kumchumbia huyu binti nikakosa kigezo kimoja..
 
mimi huwa naona havai mavazi ya kike, anavaa mashati na ana posi za kiume. sisemi kuwa ni msagaji lakini posi zake ni za kiana fulani hivi, halafu anaongea polepole sana haongei harakaharaka ili kusevu muda wa tv, anapoteza muda kutoa mimacho na kujifanya anaongea point kumbe anaboa. ukimwangalia kwa makini, anaweza kuwa alikulia kwenye familia ya watoto 5 wa kiume na wakike akiwa peke yake, ana element fulani hivi ambazo huwa zinanitia kichefuchefu. huo ndio ukweli toka moyoni mwangu. si unajua mimi nachukia sana wasagaji na mashoga...


Kama wewe ni mwana mke basi alikuzidi kete na akakupora meni na kama wewe ni mwanaume basi ka kumwaga coz umetoka nje ya point au ndo wale wasio weza kumudu mambo wanapo kuwa mahali popote. JIPANGE WEWE ACHA BIFU
 
Mimi aliniudhi jana, alivyomwambia mnyika eti asimseme ndugai kwa kuwa hayupo studio, pia kuwasema waz waz mafundi mitambo wake kwa nn hawarekebishi sauti....huku akikunja ndita...binafsi naona apunguze kujisikia.

Hapo kwenye red............ naku support!

Nilikuwa nikimkubali mwanzoni kwani ni kweli anatangaza kwa kiwango chake.

Nahisi amejisahau na kudhani kuwa kitendo cha kukunja ndita kinaongeza confidence or whatever ajuavyo!

Kwa hili tu, ajirekebishe ili arudi kwenye list ya ninaowakubali kama Stumai George!
 
Mdogo wangu na dada yangu Ivona Kamuntu ukiona tangazo limechanywa jua watu wamelisoma. Kujadiliwa na watu ni Ishara umefanya kitu. Ukiwa kwenye kipindi binafsi huwa nafarijika kwani maswali yako yanawasemea wanyonge.
 
Jamani watanzania na chuki binafsi tumezidi. mdada anaipenda kazi yake na anaifanya ipasavyo na hicho ndo kinatakiwa. lazima mtu uwe mbunifu katika kazi ili ufike mbali. basi wasemeni na akina salim kikeke, kasim kayila wa bbc bila kumsahau lee yung xinhua wa CCTV. BIG up kwa Ivona K!!

hahaha mnamjua vzr huyu
lee yung xinhua wa CCTV
 
Mimi aliniudhi jana, alivyomwambia mnyika eti asimseme ndugai kwa kuwa hayupo studio, pia kuwasema waz waz mafundi mitambo wake kwa nn hawarekebishi sauti....huku akikunja ndita...binafsi naona apunguze kujisikia.
Ukitaka raha yamhojiano muite yule Paul Mabuga amuhoji Dr Slaa!!
 
wana Jamvi habari,

Nimeamua kuandika thread hii baada ya kukutana na lalamiko la mwana jamvi mwenzetu akimlalamikia mtangazaji huyu kuwa anajiona awapo kwenye kazi yake ya utangazaji.

Ukweli ni kuwa; mbali ya pozi zake awapo mbele ya kamera, lakini ni mtangazaji kati ya wachache tulionao hapa nchini anayeweza kutengeneza sentensi na kujua jinsi ya kuifikishwa kwa jamii na kila mtu akaelewa kile anachokisema. kwa maana nyingine, ni kuwa huyu ni mtangazaji mahiri sdana katika fani hii.

Labda kwako wewe unayekereka na aina ya utangazaji wake, nitakuongezea watangazaji wengine wa aina yake kwa uchache;

Salim Kikeke - BBC
Samadu Hassan - Star

Kwa ufafanuzi huu naomba niseme kuwa hoja ya ndugu yangu hapa chini haina mashiko.

By. Mtazamaji huru.

TV Huyu mtangazaji Wa star tv


Wanajamvi,Leo natoa dukuduku langu hasa kwa mtangazaji VYONA KAMUNTU Wa star Tv,apunguze malingo na kujisikia pale anapokuwa Anatangaza pale Luninga ya star Tv,kwani anajibinuabinua utadhani kuna Mtu Ana mlingishia sura yake,Ajirekebishe ,mbona watangazaji wenzake wanatangaza vema?au anajiona kuwa yeye ni mrembo zaidi?Anakera sana huyu Dada,

Halafu mjukuu wangu anavyopendeza kwenye screen ya Tv yaani hapa vijana lazima wanipe mahari ya uhakika, bila ng'ombe 59 minimum sikubali kusikiliza mtu yeyote. Bila hizo HASIKILIZWI MTU HAPA !
 
Hivi huyu dada hayumo kwenye ile orodha ya Jakaya ya wanaotakiwa kurudi kwao? Jina na sura yake ni ya kulekule!
 
Ndugu kama una lakojambo au sababu nyingine juu ya huyo mtangazaji basi. Lakini dada huyo anaijua kazi yake hata mimi humfurahia awapo studio
 
Huwa anajisikia lakini kazi anaimudu ila tu apunguze kuonesha meno kama anayepiga mswaki. Lakini huwa pia anavaa vizuri.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
anaitwa joan itanisa daah.. yule dada ni mrembo ivyooni hamfikii hata chembe na kama mpaka sasa angekuwepo pale sidhani hata ivyooni kama angehamia mwanza

Aise kweli anaitwa Joan Itanisa,aisee nilikuwa nampenda sana yule dada sijui yuko wapi kiongozi?
 
Kuna yule anayejiita Stumai George, ananikera sana na yale mahijabu yake, au hana hela ya saloon?!
 
daah, huyo mdada huwa namkubali sana, thread hii ni kielelezo kuwa siko peke yangu. Ana uwezo mkubwa wa kudadavua issues na huwa anauliza maswali sensitive. huwa na tune startv asubuhi before sijaenda mzigoni kama yupo huyo dada studio huwa sibadili channel. Hata kama ana pozi bt anafanya kazi nzuri and we need to appreciate others sio tusubiri mpaka mtu afe ndio tufunguke. Mi binafsi namuelewa. Poa thanx
 
mimi huwa naona havai mavazi ya kike, anavaa mashati na ana posi za kiume. sisemi kuwa ni msagaji lakini posi zake ni za kiana fulani hivi, halafu anaongea polepole sana haongei harakaharaka ili kusevu muda wa tv, anapoteza muda kutoa mimacho na kujifanya anaongea point kumbe anaboa. ukimwangalia kwa makini, anaweza kuwa alikulia kwenye familia ya watoto 5 wa kiume na wakike akiwa peke yake, ana element fulani hivi ambazo huwa zinanitia kichefuchefu. huo ndio ukweli toka moyoni mwangu. si unajua mimi nachukia sana wasagaji na mashoga...

hamchelewi kumwita mtutsi...wabongo bana...hii ndo dhambi ya ubaguzi itayowatafuna....ila duh kuna mada flani ya ving'amuzi aliibaka hadi engineer alokuwa amekaribishwa akawa anampa makavu anasema asijadili mabo asiyokuwa na taaluma juu yake atawapotosha watazamaji....otherwise she is ok...midomo mali yake anaweza hata akaikata,au vyovyote atakavoona inafaaa...
 
photo.jpg


2011-12-12%2B23.09.52.jpg


source: Google
kusema ukweli, havutii kama mwanamke anayetia mvutoo kwa mwanaume, sipendi mimeno yake,labda walimwambia kuwa meno yake mazuri hivyo wakati wote anayaanika kama. labda kama take away, ila kwangu mimi huyu si wa kuweka ndani. however, kipenda roho hula nyama mbichi. ushauri wangu kwake, jaribu kuvaa nguo kama hizo muda mwingi, jichanganye na wanawake wenzio zaidi, halafu usiongee polepoleee, muda wa tv ni money, unavyozidi kuongea polepole ndivyo unavyosababisha hasara na kupunguza mapato. samahani lakini kama nitakukwaza.
 
Back
Top Bottom