Kivumah
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,428
- 1,050
Wekeni na picha basi tumuone... Wengine huwa hatuangalii hao ma TVCCM
source: Google
Wekeni na picha basi tumuone... Wengine huwa hatuangalii hao ma TVCCM
Anaongea km amejaza vitumbua mdomoni
source: Google
mimi huwa naona havai mavazi ya kike, anavaa mashati na ana posi za kiume. sisemi kuwa ni msagaji lakini posi zake ni za kiana fulani hivi, halafu anaongea polepole sana haongei harakaharaka ili kusevu muda wa tv, anapoteza muda kutoa mimacho na kujifanya anaongea point kumbe anaboa. ukimwangalia kwa makini, anaweza kuwa alikulia kwenye familia ya watoto 5 wa kiume na wakike akiwa peke yake, ana element fulani hivi ambazo huwa zinanitia kichefuchefu. huo ndio ukweli toka moyoni mwangu. si unajua mimi nachukia sana wasagaji na mashoga...
Mimi aliniudhi jana, alivyomwambia mnyika eti asimseme ndugai kwa kuwa hayupo studio, pia kuwasema waz waz mafundi mitambo wake kwa nn hawarekebishi sauti....huku akikunja ndita...binafsi naona apunguze kujisikia.
Jamani watanzania na chuki binafsi tumezidi. mdada anaipenda kazi yake na anaifanya ipasavyo na hicho ndo kinatakiwa. lazima mtu uwe mbunifu katika kazi ili ufike mbali. basi wasemeni na akina salim kikeke, kasim kayila wa bbc bila kumsahau lee yung xinhua wa CCTV. BIG up kwa Ivona K!!
Ukitaka raha yamhojiano muite yule Paul Mabuga amuhoji Dr Slaa!!Mimi aliniudhi jana, alivyomwambia mnyika eti asimseme ndugai kwa kuwa hayupo studio, pia kuwasema waz waz mafundi mitambo wake kwa nn hawarekebishi sauti....huku akikunja ndita...binafsi naona apunguze kujisikia.
wana Jamvi habari,
Nimeamua kuandika thread hii baada ya kukutana na lalamiko la mwana jamvi mwenzetu akimlalamikia mtangazaji huyu kuwa anajiona awapo kwenye kazi yake ya utangazaji.
Ukweli ni kuwa; mbali ya pozi zake awapo mbele ya kamera, lakini ni mtangazaji kati ya wachache tulionao hapa nchini anayeweza kutengeneza sentensi na kujua jinsi ya kuifikishwa kwa jamii na kila mtu akaelewa kile anachokisema. kwa maana nyingine, ni kuwa huyu ni mtangazaji mahiri sdana katika fani hii.
Labda kwako wewe unayekereka na aina ya utangazaji wake, nitakuongezea watangazaji wengine wa aina yake kwa uchache;
Salim Kikeke - BBC
Samadu Hassan - Star
Kwa ufafanuzi huu naomba niseme kuwa hoja ya ndugu yangu hapa chini haina mashiko.
By. Mtazamaji huru.
TV Huyu mtangazaji Wa star tv
Wanajamvi,Leo natoa dukuduku langu hasa kwa mtangazaji VYONA KAMUNTU Wa star Tv,apunguze malingo na kujisikia pale anapokuwa Anatangaza pale Luninga ya star Tv,kwani anajibinuabinua utadhani kuna Mtu Ana mlingishia sura yake,Ajirekebishe ,mbona watangazaji wenzake wanatangaza vema?au anajiona kuwa yeye ni mrembo zaidi?Anakera sana huyu Dada,
anaitwa joan itanisa daah.. yule dada ni mrembo ivyooni hamfikii hata chembe na kama mpaka sasa angekuwepo pale sidhani hata ivyooni kama angehamia mwanza
mimi huwa naona havai mavazi ya kike, anavaa mashati na ana posi za kiume. sisemi kuwa ni msagaji lakini posi zake ni za kiana fulani hivi, halafu anaongea polepole sana haongei harakaharaka ili kusevu muda wa tv, anapoteza muda kutoa mimacho na kujifanya anaongea point kumbe anaboa. ukimwangalia kwa makini, anaweza kuwa alikulia kwenye familia ya watoto 5 wa kiume na wakike akiwa peke yake, ana element fulani hivi ambazo huwa zinanitia kichefuchefu. huo ndio ukweli toka moyoni mwangu. si unajua mimi nachukia sana wasagaji na mashoga...
kusema ukweli, havutii kama mwanamke anayetia mvutoo kwa mwanaume, sipendi mimeno yake,labda walimwambia kuwa meno yake mazuri hivyo wakati wote anayaanika kama. labda kama take away, ila kwangu mimi huyu si wa kuweka ndani. however, kipenda roho hula nyama mbichi. ushauri wangu kwake, jaribu kuvaa nguo kama hizo muda mwingi, jichanganye na wanawake wenzio zaidi, halafu usiongee polepoleee, muda wa tv ni money, unavyozidi kuongea polepole ndivyo unavyosababisha hasara na kupunguza mapato. samahani lakini kama nitakukwaza.
source: Google