Ivi ni Kabila gani hapa TZ...???

Wasichana wao mshipa wa aibu ulishakatika...... Kiasi kwamaba hata kama mna Kiss(denda)... Binti anatoa mimacho tu ka balbu...yaani hata aibu ya kuzuga kwao ni zero!! msaada tafadhali... nipo kwenye utafiti.

Kwani kuna ulazima gani wa kufunga macho wakati wa hilo tendo mkuu?
 
Nimerudi na jibu...kabila ulilotoka wewe.Na sio wadada tu hata wakaka...JIREKEBISHENI!!‘
 
Wanaume nao wanajifanya wanajua kukiss huku wengine wakikisi liulimi analitoa lote nje kama nyoka looooo
msiseme wasichana tu,wanaume nao wana vioja kaa nini, mtu kalikakamaza utafikiri anatak kukata roho
Umenifurahisha sana dadangu, yani umegusa penyewe. Kwa kaexperience kadogo na kautafiti nilikofanya, wanaume wengi wa TZ hawajui kukiss. Hapa nazungumzia any kiss. French kiss , ya shavuni, paji la uso nk. Yani ni kazi kwelikweli.
 
Wasichana wao mshipa wa aibu ulishakatika...... Kiasi kwamaba hata kama mna Kiss(denda)... Binti anatoa mimacho tu ka balbu...yaani hata aibu ya kuzuga kwao ni zero!! msaada tafadhali... nipo kwenye utafiti.
Naomba nikwambie kufumba macho wakati wa kukiss si dalili ya aibu bali ni natural phenomenon inayotoke bila ku-decide nifumbe au nisifumbe macho. If u feel the kiss automatically utafumba macho. Huyo anayetoa mimacho hajui maana ya kiss
 
Nimerudi na jibu...kabila ulilotoka wewe.Na sio wadada tu hata wakaka...JIREKEBISHENI!!‘
<br />
<br />
nimeipenda hii tena wote watakuwa wametoka kijijini na huyu mkaka kaja kusafisha macho twn akajua ku2mia net ndo akaona atuhadithie
 
Back
Top Bottom