Ivi ni Kabila gani hapa TZ...???

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,149
22,725
Wasichana wao mshipa wa aibu ulishakatika...... Kiasi kwamaba hata kama mna Kiss(denda)... Binti anatoa mimacho tu ka balbu...yaani hata aibu ya kuzuga kwao ni zero!! msaada tafadhali... nipo kwenye utafiti.
 
wasichana wengi wa uswazi hawajui kuwa kukiss unatakiwa ufumbe macho...
unatukana wengi aisee...
 
Wasichana wao mshipa wa aibu ulishakatika...... Kiasi kwamaba hata kama mna Kiss(denda)... Binti anatoa mimacho tu ka balbu...yaani hata aibu ya kuzuga kwao ni zero!! msaada tafadhali... nipo kwenye utafiti.
<br />
<br />
Wakwere
 
aibu ya nini na huku kaamua mwenyewe kuyavulia maji nguo........yabidi ayaoge kwa kuyakodolea macho asipitwe na uhondo mtoto wa watu........
 
Hata unapokumbatian na mtu yeyot unapasw ufumbe macho,kwan ndio hisia na uzito w jamb huingia akilin,sio unakura denda huk unatathmn room ya jamaa how comez
 
Wanaume nao wanajifanya wanajua kukiss huku wengine wakikisi liulimi analitoa lote nje kama nyoka looooo
msiseme wasichana tu,wanaume nao wana vioja kaa nini, mtu kalikakamaza utafikiri anatak kukata roho
 
Kabila na hayo mashudu yaliyofuata vinahusiana vipi?!
<br />
<br />
Umenifanya nimemshitua mai waifu wangu kwa kicheko. Alikuwa amepitiwa na kausingizi kauchovu wa hili tumbo lake la miezi kumi kasoro... Nimembembeleza kalala tena..!!
 
Back
Top Bottom