obsesd
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 1,225
- 525
Inasemekana wanaume walisoma masomo ya kujieleza na hawa waliosoma masomo magumu magumu kama engineering n.k.. Huwa wana urgue tofauti na pia hata katika ku-solve matatizo wana tofautiana.
Nauliza sababu kuna shosty wangu alikuwa na boyfriend wake engineer sasa wamemwagana, sasa kapata mngwini ndio ananiambia kua wana tofautiana kabisa. Anajuta anamkumbuka Mpennzi wake wa awali.
Je hii ina apply pia na kwa ladiez or? naomba kuuliza ili jaman.