ivi kuna ukweli hapa?

Kwa kifupi kila kitu anachofanya mtu na jinsi unavyofanya kina reflect tabia ya zako.
 
hapo hakuna ukweli ma' dear

Si unamsikia the boss mkuu wahandis si watu wa mabishano wanaenda straight to the point whl wanasheria wao ful mabishano, nadhan hii inaweza ikaleta impact btn hawa wa2 hata kwenye maisha ya mahusiano.
 
watu unaokutana nao kila siku katika shughuli zako
wana 'athiri' tabia zako.....

Yah nakubaliana na ww kbs, those surrounding u wana impact kubwa ktk tabia yako ni rahis na ww kuadopt vijielement frm wao.
 
Wabeba box hawana authority, wamezoea kuagizwa kwahiyo hivyo hivyo ndivyo walivyo kwenye mahusiano.Ila uzuri wao wanazingatia muda na sheria za mchezo!

Heheheheee Lizzy bana. Yaani umetuua kabisa wabeba maboksi.

Halafu ngoja nikuulize....hivi kwa mfano, kulingana na michango yangu hapa JF, ningekuwa nami nimebahatika kusoma hadi chuo kikuu na kupata lidigrii, unadhani ningekuwa nimesomea fani gani?
 
Unaweza kuniambia (kwa kuona michango yangu tu hapa JF) kuwa nimeathirikaje?

kwa michango yako hapa unaonekana huwezi kum trust mtu kwenye uhusiano
unaamini cheating is inevitable...na kila mtu ana cheat....

na unaamini watu wengi wana sura mbili.....hawako the way wanavyotaka watu waamini....
 
Teh teh teh....Boss bana.

Kusema ukweli niko very practical na realistic. Mambo ya false hopes sina kabisa.

Halafu hivi cheating inahusisha nini? Penetrative sex peke yake au hata flirting kwenye emails, PM, Facebook, forums, etc.?
 
cheating hata 'emotional cheating' ni cheating so zote hizo...
but believe me.wapo watu hawa cheat kabisa....very rare but wapo...
 
Heheheheee Lizzy bana. Yaani umetuua kabisa wabeba maboksi.

Halafu ngoja nikuulize....hivi kwa mfano, kulingana na michango yangu hapa JF, ningekuwa nami nimebahatika kusoma hadi chuo kikuu na kupata lidigrii, unadhani nidngekuwa nimesomea fani gani?
Hahahaha, usijali PM hazipungui wala nini.

Mmmh maybe an attorney, I think you would make one hell of an attorney.
 
Back
Top Bottom