radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,428
- 32,204
Nilijua unaweka vifungu vya katiba halafu unaandika "fikiria"Shida inayowakumba vijana wengi ni kuongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia na taratibu, katika kanuni na taratibu za uchaguzi msimamizi harusiwi kuhojia na chombo chochote kwa sababu kuu zifuatazo, moja kuhojiwa kwake kunaweza kumtoa kwenye concentration akashindwa kuwa makini na lolote linaweza kutokea, fikiria angekuwa mwandishi wa TBC akafanya hivyo implication ingekuwaje?
Pili huwezi jua baada ya msimamizi kuhojiwa nini kilitokea yawezekana adui alitumia mwanya huo kufanya yake hasa kurudisha sanduku la box.