Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 664
- 334
mmmmmmmmmmmmmh katika maandamano haya mie napita tu!!!!!!!!!
Watanzania tunaishi maisha magumu sana hatuna uhuru wa kweli! kituo cha Tv cha mtu binafsi lakini hakipo huru
Angalia taarifa ya habari zote tangu kampeni zianze Arumeru.
Wakionesha habari za CCM kamera zinakuwa zimetulizwa na zinaonesha eneo kubwa ili ionekane idadi ya watu, na pia picha zinaoneshwa kwa utulivu na muda wa kutosha.
Njoo habari ya CHADEMA sasa, jamaa wanaonesha picha iliyopigwa kwa karibu kuonesha watu wachache na kisehemu hicho kitarudiwa hata mara nne. Na iwapo wataonesha picha ya mbali, basi itapitishwa kwa spidi hadi inaonekana kabisa kuna kitu wanazuia.
Hivi ni kweli mpaka 2015 chadema itakuwa haina TV? au basi atokee kada wa CHADEMA mwenye mshiko kama kina ndesa wafungue tv binafsi zitakazotoa habari kwa haki na usawa, kama jinsi ambavyo makada wa CCM wana tv mfano Clouds TV, Star TV na ITV yenyewe.
Lakini hii haitawasaidia; maana wapiga kura wapo Arumeru na uhalisia wa mambo uko huko! kuchakachua picha haibadilishi msimamo wa wana wa Arumeru!
Jaribu kutafuta vocabulary ya kuchakachua ilizaliwa lini na kwa nini. Je, umefuatilia chaguzi ndogo ndogo zilizofanyika huko Mbeya hivi karibuni? Kuna moja imerudiwa mara tatu, sababu? Ambaye hatakiwi kushinda, kashinda! Mara zote msimamizi kapata kigugumizi kutangaza, chaguzi ikabidi zirudiwe! Je zingekuwa chaguzi kubwa? For every mistake made, so much knowledge is gained!almost kila chaguzi huwa inategemewa chadema kushinda kwa vishindo na kila matokeo yakitoka vocabulary ya kuchakachua inazaliwa!!! cdm wamekuwa kwenye game tangu 92........mawakala wao...matokeo yakija CCM wanakuwa wameiba kura???
Jaribu kufuatilia kesi inayoendelea huko Segerea. Ukweli ulio mchungu ni kuwa Chadema haina dola, haina polisi, haina tume na haina Tendwa. Hakuna mchezo mchafu zaidi ya ule auchezao anayeamini yeye ni gwiji kumbe hawezi hata kutambua kuwa ngoma yenyewe anayocheza bado hata haijaanza, lakini, yeye huyo...! keshalowa jasho hadi utosini!kuna mchezo mchafu hapa ambao mnachezewa na hawa wanasiasa!!
Jaribu kufuatilia mijadala humu JF, revealers mizuka wanajitokeza wengi tu karibu kila siku, what is one or two more, you are very welcome! Lakini taratibu hatua zinapigwa, baada ya kuuchapa usingizi kwa miaka 50, ukiamshwa lazima upate taabu kidogo kuzoea mazingira utakayoyakuta. Wapo ambao mwanga watakaoukuta unaweza kuwafanya wasione wakaamini bado wamelala kumbe ndio wamepofuka moja kwa moja.soon to be revealed
This should prompt Chadema to allocate funds for setting up their own TV station instead of wasting money on payments for Slaa's and Josephine's expenditures. It is inapprehensible that Chadema, with its vast monthly subsidies received from the governament, does not own a single media to promote itself especially during times like these.
Magwanda kila mtu anawaonea nyinyi, sasa hao wapiga kura kwanini na wao wasiwaonee?
Angalia taarifa ya habari zote tangu kampeni zianze Arumeru.
Wakionesha habari za CCM kamera zinakuwa zimetulizwa na zinaonesha eneo kubwa ili ionekane idadi ya watu, na pia picha zinaoneshwa kwa utulivu na muda wa kutosha.
Njoo habari ya CHADEMA sasa, jamaa wanaonesha picha iliyopigwa kwa karibu kuonesha watu wachache na kisehemu hicho kitarudiwa hata mara nne. Na iwapo wataonesha picha ya mbali, basi itapitishwa kwa spidi hadi inaonekana kabisa kuna kitu wanazuia.
Hivi ni kweli mpaka 2015 chadema itakuwa haina TV? au basi atokee kada wa CHADEMA mwenye mshiko kama kina ndesa wafungue tv binafsi zitakazotoa habari kwa haki na usawa, kama jinsi ambavyo makada wa CCM wana tv mfano Clouds TV, Star TV na ITV yenyewe.
Angalia taarifa ya habari zote tangu kampeni zianze Arumeru.
Wakionesha habari za CCM kamera zinakuwa zimetulizwa na zinaonesha eneo kubwa ili ionekane idadi ya watu, na pia picha zinaoneshwa kwa utulivu na muda wa kutosha.
Njoo habari ya CHADEMA sasa, jamaa wanaonesha picha iliyopigwa kwa karibu kuonesha watu wachache na kisehemu hicho kitarudiwa hata mara nne. Na iwapo wataonesha picha ya mbali, basi itapitishwa kwa spidi hadi inaonekana kabisa kuna kitu wanazuia.
Hivi ni kweli mpaka 2015 chadema itakuwa haina TV? au basi atokee kada wa CHADEMA mwenye mshiko kama kina ndesa wafungue tv binafsi zitakazotoa habari kwa haki na usawa, kama jinsi ambavyo makada wa CCM wana tv mfano Clouds TV, Star TV na ITV yenyewe.
Angalia taarifa ya habari zote tangu kampeni zianze Arumeru.
Wakionesha habari za CCM kamera zinakuwa zimetulizwa na zinaonesha eneo kubwa ili ionekane idadi ya watu, na pia picha zinaoneshwa kwa utulivu na muda wa kutosha.
Njoo habari ya CHADEMA sasa, jamaa wanaonesha picha iliyopigwa kwa karibu kuonesha watu wachache na kisehemu hicho kitarudiwa hata mara nne. Na iwapo wataonesha picha ya mbali, basi itapitishwa kwa spidi hadi inaonekana kabisa kuna kitu wanazuia.
Hivi ni kweli mpaka 2015 chadema itakuwa haina TV? au basi atokee kada wa CHADEMA mwenye mshiko kama kina ndesa wafungue tv binafsi zitakazotoa habari kwa haki na usawa, kama jinsi ambavyo makada wa CCM wana tv mfano Clouds TV, Star TV na ITV yenyewe.
Angalia taarifa ya habari zote tangu kampeni zianze Arumeru.
Wakionesha habari za CCM kamera zinakuwa zimetulizwa na zinaonesha eneo kubwa ili ionekane idadi ya watu, na pia picha zinaoneshwa kwa utulivu na muda wa kutosha.
Njoo habari ya CHADEMA sasa, jamaa wanaonesha picha iliyopigwa kwa karibu kuonesha watu wachache na kisehemu hicho kitarudiwa hata mara nne. Na iwapo wataonesha picha ya mbali, basi itapitishwa kwa spidi hadi inaonekana kabisa kuna kitu wanazuia.
Hivi ni kweli mpaka 2015 chadema itakuwa haina TV? au basi atokee kada wa CHADEMA mwenye mshiko kama kina ndesa wafungue tv binafsi zitakazotoa habari kwa haki na usawa, kama jinsi ambavyo makada wa CCM wana tv mfano Clouds TV, Star TV na ITV yenyewe.
This should prompt Chadema to allocate funds for setting up their own TV station instead of wasting money on payments for Slaa's and Josephine's expenditures. It is inapprehensible that Chadema, with its vast monthly subsidies received from the governament, does not own a single media to promote itself especially during times like these.
Jaribu kutafuta vocabulary ya kuchakachua ilizaliwa lini na kwa nini. Je, umefuatilia chaguzi ndogo ndogo zilizofanyika huko Mbeya hivi karibuni? Kuna moja imerudiwa mara tatu, sababu? Ambaye hatakiwi kushinda, kashinda! Mara zote msimamizi kapata kigugumizi kutangaza, chaguzi ikabidi zirudiwe! Je zingekuwa chaguzi kubwa? For every mistake made, so much knowledge is gained!
Jaribu kufuatilia kesi inayoendelea huko Segerea. Ukweli ulio mchungu ni kuwa Chadema haina dola, haina polisi, haina tume na haina Tendwa. Hakuna mchezo mchafu zaidi ya ule auchezao anayeamini yeye ni gwiji kumbe hawezi hata kutambua kuwa ngoma yenyewe anayocheza bado hata haijaanza, lakini, yeye huyo...! keshalowa jasho hadi utosini!
Jaribu kufuatilia mijadala humu JF, revealers mizuka wanajitokeza wengi tu karibu kila siku, what is one or two more, you are very welcome! Lakini taratibu hatua zinapigwa, baada ya kuuchapa usingizi kwa miaka 50, ukiamshwa lazima upate taabu kidogo kuzoea mazingira utakayoyakuta. Wapo ambao mwanga watakaoukuta unaweza kuwafanya wasione wakaamini bado wamelala kumbe ndio wamepofuka moja kwa moja.
Hahaaaaa!kwani hujui CCM ni mabingwa wa propaganda!!ccm hoi arumeru.chadema iongeze shamrashamra za kampeni jimbo limedondokea chadema.