ITV wana agenda ya siri dhidi ya CHADEMA??

NOT FOUND

Senior Member
Mar 14, 2011
158
59
Angalia taarifa ya habari zote tangu kampeni zianze Arumeru.

Wakionesha habari za CCM kamera zinakuwa zimetulizwa na zinaonesha eneo kubwa ili ionekane idadi ya watu, na pia picha zinaoneshwa kwa utulivu na muda wa kutosha.

Njoo habari ya CHADEMA sasa, jamaa wanaonesha picha iliyopigwa kwa karibu kuonesha watu wachache na kisehemu hicho kitarudiwa hata mara nne. Na iwapo wataonesha picha ya mbali, basi itapitishwa kwa spidi hadi inaonekana kabisa kuna kitu wanazuia.

Hivi ni kweli mpaka 2015 chadema itakuwa haina TV? au basi atokee kada wa CHADEMA mwenye mshiko kama kina ndesa wafungue tv binafsi zitakazotoa habari kwa haki na usawa, kama jinsi ambavyo makada wa CCM wana tv mfano Clouds TV, Star TV na ITV yenyewe.
 
Picha walizoonyesha za mgombea wa ccm ni ile siku ya uzinduzi pale Usa ccm inapata watu wachache sana kwenye kampeni zao ndiyo maana kila mara wanaonyesha siku ya uzinduzi na hiyo ni mbinu tu za waandishi kwa kuwa wanalipwa angalau waonyeshe uwingi Wa watu.

QUOTE=David Palmer;3527073]Angalia taarifa ya habari zote tangu kampeni zianze Arumeru.

Wakionesha habari za CCM kamera zinakuwa zimetulizwa na zinaonesha eneo kubwa ili ionekane idadi ya watu, na pia picha zinaoneshwa kwa utulivu na muda wa kutosha.

Njoo habari ya CHADEMA sasa, jamaa wanaonesha picha iliyopigwa kwa karibu kuonesha watu wachache na kisehemu hicho kitarudiwa hata mara nne. Na iwapo wataonesha picha ya mbali, basi itapitishwa kwa spidi hadi inaonekana kabisa kuna kitu wanazuia.

Hivi ni kweli mpaka 2015 chadema itakuwa haina TV? au basi atokee kada wa CHADEMA mwenye mshiko kama kina ndesa wafungue tv binafsi zitakazotoa habari kwa haki na usawa, kama jinsi ambavyo makada wa CCM wana tv mfano Clouds TV, Star TV na ITV yenyewe.[/QUOTE]
 
ccm hoi arumeru.chadema iongeze shamrashamra za kampeni jimbo limedondokea chadema.
 
Mkuu nashukuru nawe umeliona hilo. Tv ya maana pekee ni Mlimani Tv wao huwa ni wakweli ingawa safari hii hawakutuma mwakilishi uko arusha.
 
Lakini hii haitawasaidia; maana wapiga kura wapo Arumeru na uhalisia wa mambo uko huko! kuchakachua picha haibadilishi msimamo wa wana wa Arumeru!
 
ITV JITAFAKARI ...YOUR NOT FAIR...AGAIN JOYCE MHAVILE YOUR THE BOSS TAKE NOT OF THIS...TRY TO BALACE ISSUES.UMESHINDWA WAPE AKINA MASAKO ,DEO AU FATUMA....

Kwanini mnauza utu wa mtanznia ..tungekuwa watu wa kusadikika sawa lakini tunaona na kushuhuudia pia ...ACHENI UPENDELEO WA WAZI .......ACHA WAKULIMA WAVUNE WAPANDACHO....

NI MM MMERU PASEEE........
 
Hakuna mwenye namba ya mzee mengi humu maana najua hawezi kuwa ametoa maelekezo haya, itakuwa ni wajinga wachache tu pale na wanafanyahivyo shauri ya njaa zao. Hata hivyo Tanganyika haijafikia mahali pakufanya kampeni kwa TV hivyo wala msitie shaka ushindi upo pale pale tena wasipoonyesha ndio wananchi wauona ukweli kuwa the game is unfair
 
Angalia taarifa ya habari zote tangu kampeni zianze Arumeru.

Wakionesha habari za CCM kamera zinakuwa zimetulizwa na zinaonesha eneo kubwa ili ionekane idadi ya watu, na pia picha zinaoneshwa kwa utulivu na muda wa kutosha.

Njoo habari ya CHADEMA sasa, jamaa wanaonesha picha iliyopigwa kwa karibu kuonesha watu wachache na kisehemu hicho kitarudiwa hata mara nne. Na iwapo wataonesha picha ya mbali, basi itapitishwa kwa spidi hadi inaonekana kabisa kuna kitu wanazuia.

Hivi ni kweli mpaka 2015 chadema itakuwa haina TV? au basi atokee kada wa CHADEMA mwenye mshiko kama kina ndesa wafungue tv binafsi zitakazotoa habari kwa haki na usawa, kama jinsi ambavyo makada wa CCM wana tv mfano Clouds TV, Star TV na ITV yenyewe.

Mkuu Tanzania tuna mkusanyiko wa vyombo vya habari lakini hatuna uhuru wa vyombo vya habari. Vyombo vya habari haviko huru kwa sababu vyenyewe vimejifunga minyororo. Haiingii akilini habari inayotokana na chanzo kimoja iwe tofauti kabisaaa ukiisoma kwenye magazeti mawili yenye mirengo tofauti. Kama waandishi wawili waliosoma TSJ na kuhitimu na kuwa weledi kwenye habari wanaandika habari toka chanzo kimoja lakini habari hiyo ikawa tofauti kabisa basi ujue hapo kuna utumwa wa kutumwa; hapana uhuru hapo.
 
Magwanda kila mtu anawaonea nyinyi, sasa hao wapiga kura kwanini na wao wasiwaonee?
 
Mimi niko tayari kurusha vipindi vya televisheni online kama CDM wako tayari

Mjadala uanzie hapa, big up sana kiongozi.

Ushabiki wa ITV nmeushtukia toka mwanzo, ni kuwatema kama tulivyowatema TBC na Channel ten!
 
Dawa ni kuwanyima matangazo hao ITV. Mfano kama kuna kibosile ofisini mwenye mamlaka ya kusema watangaze na tv gani basi aseme mwisho ITV mpaka wajirekebishe. starve them, hiyo ndiyo nguvu ya umma. Makampuni binafsi yakileta fyokofyoko unaisusia. Usitumie hudama zake au usinunue bidhaa and bad mouth them!
 
Kumsema mzee mengi wakati mwingine ni kumwonea tu tatizo lipo kwa waandishi wao wasiofuata maadili na wameendekeza njaa kwa mfano aliyepo kwenye msafara wa kampeni za CCm ni Makunga huyo aliwahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha 200-2007 sasa unatarajia atafanya coverage fair?na bado hapo hapo anataka kuhalilisha mshiko wa 40,000 kwa siku wanaolipwa waandishi wanaondamana na msafara wa SIOI! waandishi wa tz bure kabisa wanatumia masababuri kufikiri!
 
This should prompt Chadema to allocate funds for setting up their own TV station instead of wasting money on payments for Slaa's and Josephine's expenditures. It is inapprehensible that Chadema, with its vast monthly subsidies received from the governament, does not own a single media to promote itself especially during times like these.
 
leo nilikuwa pale new habari leo muhariri wa gazeti la mtanzania alikuwa anachimbwa biti na bashe kwa kutoa taarifa za chadema na jamaa kumbe alikuwa tanzania daima alicho wajibu ni kwamba yeye anataka kuuza gazeti
 
@Radhia, vipi ile BBC Africa Radio 4 bado inafanya kazi? ...in West Africa, right?
 
leo nilikuwa pale new habari leo muhariri wa gazeti la mtanzania alikuwa anachimbwa biti na bashe kwa kutoa taarifa za chadema na jamaa kumbe alikuwa tanzania daima alicho wajibu ni kwamba yeye anataka kuuza gazeti
Mnapoteza muda wenu pale ITV mzee Mengi ndio anaetoa muongozo! Mengi ni oppurtunist tu ingawa wengi hampendi ukweli huu! Malengo yake ndio yanamuongoza not nyingi wananchi!
 
Back
Top Bottom