ITV: Gamba la CCM Kujadiliwa Kivingine

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
hii taarifa imenishitua sana. ati suala la gamba litajadiliwa kwa namna nyingine katika mifumo mingine ya kichama. swali hapa ni je, kuna mifumo mingine rasmi zaidi ya vikao vyao vya cc na nec?
 
........waachane na sisi, gamba! gamba! wapandishe thamani ya pesa yetu, tujadili uchumi tuachane na mambo ya kujadili watu; Mukama anaposema ati usitake kutengeneza historia kilingana na unavyotaka wewe, mazingira ni determinant, time and space according to yeye, sasa hapa anamsema nani Lowassa! amewashinda kwa hoja huko ndani ya vikao vyao sasa anatuletea stori gani huyu naye gamba nini!!!!
 
hii taarifa imenishitua sana. ati suala la gamba litajadiliwa kwa namna nyingine katika mifumo mingine ya kichama. swali hapa ni je, kuna mifumo mingine rasmi zaidi ya vikao vyao vya cc na nec?

Wataana watajiju na magamba yao na mafisadi yao na raisi wao wa mambo ya nje
 
Matumaini ya wana ccm yanazidi kutoweka maana watakosa hoja za kuwajibu watani wao CDM,vikao kama cc na nec kushindwa kutekeleza maamuzi yao ya mwezi Aprili ni kuwadharau wanachama.
 
Matumaini ya wana ccm yanazidi kutoweka maana watakosa hoja za kuwajibu watani wao CDM,vikao kama cc na nec kushindwa kutekeleza maamuzi yao ya mwezi Aprili ni kuwadharau wanachama.

Hivi kuna watu bado wanawaamini hawa jamaa? Suala la gamba wamelianzisha wenyewe wameishia kujikanyaga tu hakuna gamba lolote limevuliwa, hata issue ya Jairo na Luhanjo hakuna kitakachoendelea, kwani wakati wa Richmond Hosea alipogoma kujiuzulu nani alimgusa tena? Dodoma wamekutana kwa mbwembwe wametumia pesa kibao bila chochote cha maana, maazimio tu yasiyo na kichwa wala mkia. shame on them!
 
Back
Top Bottom