It's December: Wanaume wa kibongo pelekeni wake zenu 'vacation'...

"Wanshangaza" Cousin i suspect getruda is dating a white dude....halafu wadada wakiishatembelea uturn wakitoka huko wanakuwa na mindset za ajabu kweli sijui yule dada huwa anawalisha nini aisee...
utoto tu, akikua ataacha where is the female power and pride, if the first thing that comes out of your sorry a$$ is kupewa/kupelekwa/kupatiwa/kuwekewa/kufanzwa/kunanihiwa?? pia huo ni UDANANDA!!! aisee, sometimes wanakua hivi DEPENDENT WOMAN.jpg
 
utoto tu, akikua ataacha where is the female power and pride, if the first thing that comes out of your sorry a$$ is kupewa/kupelekwa/kupatiwa/kuwekewa/kufanzwa/kunanihiwa?? pia huo ni UDANANDA!!! aisee, sometimes wanakua hivi View attachment 42509

Invalid link!!!

Tunasikitisha?
Eti tunataka haki wakati bado tunategemea kila kitu toka kwa mwanaume.
 
Ndo mana kuna siku hapa niliuliza high class/high social status/ celebrity definition zake na classes zake.

Yaani kuvaa kiatu cha Steve Maden tu kosa, nshakuwa celebrity, au am dating 2*+=5#62* tayari celebrity au high class.

Confussion tupu!

Tatizo wanajifanya macelebrities, kisa wameolewa na wazungu.......
 
Invalid link!!!

Tunasikitisha?
Eti tunataka haki wakati bado tunategemea kila kitu toka kwa mwanaume.
mama usidandie treni kwa mbele.... angalia post ipi inajibiwa and why.................. nimeuliza female power iko wapi endapo dada yetu getrude anaanza na kuitafuta spain wakati hata murugwanza kwenda kuuguza mama hana mpango

dogo umekula nini leo?
 
Nimekumbuka movie za wanaijeria haiwezi kuisha bila kuzungumzia States. Wale ndugu zetu nao kama washamba.

Ndo mana kuna siku hapa niliuliza high class/high social status/ celebrity definition zake na classes zake.

Yaani kuvaa kiatu cha Steve Maden tu kosa, nshakuwa celebrity, au am dating 2*+=5#62* tayari celebrity au high class.

Confussion tupu!
 
vilaza

Kutokea mchambawina hadi Ukerewe unadhani mchezo.

Ningejitahidi, nineolewa na nurse au mtendaji wa kijiji
chezeiyaa, sasa hivi na mzungu?!

"Wanshangaza"

Cousin i suspect getruda is dating a white dude....halafu wadada wakiishatembelea uturn wakitoka huko wanakuwa na mindset za ajabu kweli sijui yule dada huwa anawalisha nini aisee...
 
Back
Top Bottom