It's December: Wanaume wa kibongo pelekeni wake zenu 'vacation'...

Tatizo la wanawake wengi wa kibongo wamekrem kua wanaume ndo watoaji tu. wenyewe hawatoi yani cha wanaume chao cha kwao ni chakwao peke yao.wanawake acheni maisha ya kukrem na nyie onyesheni upendo kwa wame zenu kwa kuwatoa pia.

kumbe wako wengi??? mbona wamejifanya kuruka humu au wanafiki?kuna thread humu ya 50:50 financial rensponsibilities kutowezekana,wanaume watabaki kuwa providers.....poleni but am being honest here!
 
hahahahhaaa Kongosho,anacheza huyu Getruda,wakishapanda KLM basi wengine tuliobaki bongo wanatuon
a mafala.Kibaya zaidi vichwa vyao vinakuwa kama kokoro vinavuta kila upuuzi wa wazungu as if ndo world standard.Hivi seriously kwa maisha ya mtanzania wa kawaida can you talk of vacationing in Spain ilhali nyumbani kwako maji yamekatwa,luku imeisha,karo unadaiwa,kodi ya nyumba ndo usiseme? Is she serious au anafurahisha baraza?halafu huko ulaya wanafanya nini,maana tunasikia stories nyingi hadi tunaogopa?Mimi nimeamua wanangu hawaendi ulaya kusoma hadi niwe na pesa ya kuwagharimia kila kitu tuition,accomodation na full upkeep.

kama huwezi kwenda spain kisa luku imekatwa na hapo mikumi je ulienda lini na mkeo???...usijali kusomesha wanao ulaya hutasomesha...hio hela ya kwenda vacation tu huna ndio ya kumsomesha mtoto na kumlipia kila kitu utaitoa wapi?au na wewe unafurahisha baraza?...wanchekesha!
 
Wanawake wa kibongo bana wakipata mzungu wanaona ni kama vile wameingia mbinguni na kuonana na Yesu

mbongo nani anamtaka??eti wanakuja na threads...kuwa na nyumba ndogo ni nature yao...mnh!
 
Ngoja tuone bajeti imekaaje mwisho wa mwaka ni wazo safi sana mmetoa mi sikujua na nyumba kubwa zinataka vacation, maana watu wenyewe hawasemi na nyumba ndogo zipo sharp sana

am glad topic yangu imemake postive impact,hao wengine nadhani ni maneno ila wameisoma kimya kimya......twataka vekesheni sieeeeeeeeeeeeee!
 
lol nimeona u turn,wanawake wakilalamika hamuwapeleki wake zenu vacation kama spain,france etc..ati mwanaume wa kibongo akijitahidi kukufurahisha atakupeleka kwa wakwe zako ukasalimie....hapo ndo anaona kakutoooooooooooooooa lol,cha kushangaza wanawake nao hawasemi kama wanataka vacation wanaishia kulalama tu wakiona mwenzao kapelekwa vacation(na wazungu)

*wanaume pelekeni wake zenu vacation,sio mjidai hela hamna wakati mnawapeleka nyumba ndogo kama kawa...

*wanawake fungukeni kwa waume zenu msiishie kulalama kichini chini pindi mnapomuona mwenzenu kapelekwa vacation...

Lols

kwani wanawake hawatakiwi kuwatoa waume zao out????? Na nyie si mnafanya kazi??? Msiangalie upande mmoja tu.
 
Kwanini msubirie kupelekwa?
Nyie mnawapeleka waume zenu?

Kama hali inaruhusu jipeleke au mpeleke na mwenzako hamna haja ya kulalamika kisa fulani kapelekwa.Mipango yake sio sawa na yako.
LIZZY itabidi nikupe Tusker Malt baridiiiii. umemaliza kila kitu
 
Kwanini msubirie kupelekwa?
Nyie mnawapeleka waume zenu?

Kama hali inaruhusu jipeleke au mpeleke na mwenzako hamna haja ya kulalamika kisa fulani kapelekwa.Mipango yake sio sawa na yako.

Tunahitaji Wanawake wengi wenye mawazo kama wewe na siyo wale wenye mawazo ya mwaka 47. Ahsante sana Lizzy.

 
Last edited by a moderator:
Katika hili kila familia inajua uwezo wao wa kipato,lakini kwa kuwa umesema vacation bila kutaja ni wapi
pa kwenda,basi hata kwenda mtaa wa pili kama kuna banda la chips na guest,mkala na kulala huko hiyo nayo inatosha?
Na je hairuhusiwi mama naye kumtoa baba wakajimuvuzisha sehemu au ni mpaka atolewe na mme, hapo mfume dume hau-apply?
 
Katika hili kila familia inajua uwezo wao wa kipato,lakini kwa kuwa umesema vacation bila kutaja ni wapi
pa kwenda,basi hata kwenda mtaa wa pili kama kuna banda la chips na guest,mkala na kulala huko hiyo nayo inatosha?
Na je hairuhusiwi mama naye kumtoa baba wakajimuvuzisha sehemu au ni mpaka atolewe na mme, hapo mfume dume hau-apply?

Hello naona uneamsha thread, na wish ingeamshwa early this month. Ila wanaume hope watajipanga tena kwa Dec 2014.

BAK ndio alimalizia 2011.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom