It's December: Wanaume wa kibongo pelekeni wake zenu 'vacation'...

Wanaume poleni sana, ndyo umeangukia kwa mwanamke kama huyu si balaa! Mimi wangu vacation yetu ni kitandani na kuhakikisha tunakula na kushiba hata kama siyo balanced diet.

To heaven with ufaransa na alilke. Getrude unashika biblia mara ngapi kwa siku? I advice you to read Proverb 31.
Dada...hili neno aiseee:poa:poa.....ngoja niipitie hiyo Proverb 31 nione inasemaje
 
Wanaume wa kiafrika/bongo wana namna yao ya kuonyesha hisia zao ambayo ni tofauti na wanaume wa mabara au nchi zingine maana hili ni suala la tamaduni. Kusema kuwa wazungu wanajua sana "ku-care" na kupenda inawezekana isiwe kweli kwa 100%. Mfano, kama wazungu wanajua mapenzi, kwanini kiwango cha kutalikiana ni kikubwa sana kwao kuliko huku kwetu?

Kutoana vacation au out pia ni suala la tamaduni na mazingira. Naamini kwa mwanaume wa ki-tanzania kumpeleka mwenzi wake Serengeti inaweza isiwe na satisfaction kubwa kwa mwenzi wa kitz ukilinganinsha na mwenzi wa kizungu maana kwa wazungu kuwaona wanyama wakiwa porini is an experience to remember. Dada zetu ridhikeni na kaka zenu, maana ndivyo walivyolelewa na mama (wanawake) zenu.

Ukitembelea sehemu zenye swimming pool ndipo utaona jinsi dada zetu walivyo desperate kutafuta wazungu, wazungu wenyewe vibabu ambavyo naamini vinatafuta TIGO tu maana dada zetu wakiwapata wazungu basi na neno "No" au "Hapana" linafutika rasmi ktk kamusi zao!
 
lol...umeongea kwa uchungu sana...vacation na mamsapu muhimu bana...
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/143617-kujipendelea-muhimu.html

Namuunga mkono mtoa hoja, mdahalo mzuri. Kama uwezo upo, tumia nafasi hiyo badala ya
kufurahisha nyumba ndogo kwa Vitz, sijui kuwajengea nk nyingine kibao zisizo na mpango kwenye
furaha ya mkeo.
 
Duuh huu utumwa wa fikira sasa, hivi ukifanya kitu bila kuangalia kwa wengine nini kinafanyika maisha hayaendi? Unangangalia vakesheni kisa TF kampeleka Lizzy? yaani hakuna kabsa yaani daah ni kwamba yaani daaah!!!
 
lol nimeona u turn,wanawake wakilalamika hamuwapeleki wake zenu vacation kama spain,france etc..ati mwanaume wa kibongo akijitahidi kukufurahisha atakupeleka kwa wakwe zako ukasalimie....hapo ndo anaona kakutoooooooooooooooa lol,cha kushangaza wanawake nao hawasemi kama wanataka vacation wanaishia kulalama tu wakiona mwenzao kapelekwa vacation(na wazungu)

*wanaume pelekeni wake zenu vacation,sio mjidai hela hamna wakati mnawapeleka nyumba ndogo kama kawa...

*wanawake fungukeni kwa waume zenu msiishie kulalama kichini chini pindi mnapomuona mwenzenu kapelekwa vacation...

LOLS

Wewe unazungumzia Paris wakati mwanamke aliyeko Kilimanjaro hajui milima ya upare inafananaje? Unazungumzia Paris wakati wanawake wa hapo Osterbay na Masaki hawajui bonde la ngorongoro likoje? Unazungumzia Paris wakati wanawake wa hapo Tanga hawajui mapango ya Amboni yanafananaje?

Tukuze Utalii wa ndani Ulaya hakuna jipya zaidi ya maghorofa yanayofanana na ya NSSF na PPF na Benki Kuu; sana sana cha ajabu ni barabara za juu (flyovers) ndio hakuna Tanzania

Makaratasi makaratasi nini bwana. As long as umekwea pipa kurudi au kutorudi ni wewe tu. Kwani hatujuhi kuwa kuna wanaofunga ndoa na homeless (hata na vichaa) wapate makaratasi.

mnh hawana makaratasi hao!!!!.....well kwangu mie maisha ni popote you can make it,ulaya au tanzania...kila mtu ana choices zake...na simshangai mtu akiamua kurudi tz kama ambavyo simshangai mtu akiamua kubaki....
 
Mange alipilekwa spain nini..?! maan source ya uzi wako ni U turn
 
Posho Euro 300, nguo ya maana inaanzia euro 30, hujanunua chakula, unaishi kwenye gheto mbali na town centre hivyo ukitaka kwenda mjini ulipe nauli. Msimu wa baridi unawaza gharama za kupasha moto nyumba, hakuna suala la ndugu kusaidiana wakati mwingine ile kupiga story tu nao hamna kila mtu yuko busy utakosa stress wewe? Tena usiugue sijui meno au macho mifumo ya afya hata ya nchi zilizoendelea hawapendi kulipia haya matatizo -well provided....i don't think so!

sasa wewe unataka gauni la euro 30 na hutaki kufanya kazi???yes wako well provided...hela wanayotoa inaweza sana kucover mahitaji,wamecalculate in average inatosha sana unless wewe ni big spender and if that is the case fanya kazi itayokuwezesha kufanya hivyo.......hakuna ndugu kusaidiana usaidiwe kwa lipi? matibabu bure ukikosa kazi unalipwa....nyerere kakulea vibaya eeeh?
 
Makaratasi makaratasi nini bwana. As long as umekwea pipa kurudi au kutorudi ni wewe tu. Kwani hatujuhi kuwa kuna wanaofunga ndoa na homeless (hata na vichaa) wapate makaratasi.[/QUOT E]

sasa bongo kungekuwa hamna stress kila siku ni bata watu wangehangaika kutafuta makaratasi kwa kufunga ndoa bubu kweli?
 
Wanaume poleni sana, ndyo umeangukia kwa mwanamke kama huyu si balaa! Mimi wangu vacation yetu ni kitandani na kuhakikisha tunakula na kushiba hata kama siyo balanced diet.

To heaven with ufaransa na alilke. Getrude unashika biblia mara ngapi kwa siku? I advice you to read Proverb 31.

hujui vacation ni nini,na umuhimu wake...sikulaumu sio makosa yako .........makosa ya mumeo kutokuwa exposed.
 
Unamwambia Mungu wako kuwa wanaosema hawana pesa ni waongo, ila wewe ndo super star wa maisha. Kila mtu anapenda kufanya hivyo nenda kwenye familia moja wape fedha uone kama hawatenda

hawajaamua tu mbona michango ya vichen parties huwa haikosekani,unadhania wazungu wanaoenda holiday ni matajiri???basi tu kusave hata kile kidogo kinachopatikana.
 
Hivi mzungu ndio nini vile?...hatujazaliwa na roho za gere wenzio wewe na magere yako UTAJIBEBELEA...

naona hilo la mzungu,limekutouch otherwise ungeisoma kimya kimya kama wengine,nawaona daily mwenzio sio kama wewe....najichagulia tu namtaka yupi poleeee!
 
Back
Top Bottom