Chief Isike
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 445
- 462
Wakuu we need to c beyond our nose. Mtambue kuwa JK alipoamua kujilipua na kubeba ajenda ya katiba mpya (baada ya ushauri bila shaka), wapo wahafidhina ndani ya serikali ya CCM na katika chama walinung'unika wakisema si ya kwao. Hawataki. Imesukumwa hivyo hivyo kimagumashi imefika hapo tulipo, tukishuhudia mchalato wa sheria muhimu na nyeti kabisa ikikwepa USHIRIKI WA WANANCHI KWA MAKUSUDI TU YA KULINDA CHAMA FULANI NA UBABE WA WATAWALA (si viongozi, maana hawa husikiliza matakwa ya wanaowaongoza).
Ok akakubali kukutana na chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, wapo wahafidhina serikalini na ndani ya CCM walioona kuwa hiyo ni kuipatia credit CHADEMA, wao hawaangalii hoja za mtu/watu, wanangalia mtoa hoja basi. Walikuwa hawataki mkutano, ndiyo maana wakasema basi na vyama vingine viwepo. Hawataki kutambua kuwa yanayosemwa na CHADEMA ndiyo hayo hayo yamesemwa na Majaji Wastaafu (kupitia chama chao), TLS, wanaharakati, baadhi ya wabunge wa CCM (katika off records), viongozi wa dini, wanazuoni (kama UDASA) na wadau wengine kibao.
Sasa Rais Kikwete kakutana na CHADEMA amepokea mapendekezo, mojawapo asitie saini kwanza muswada, si ndiyo. Lakini katia saini jana...sasa wakuu hivi kweli tuliangalie hili kwa mapana;
Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, anakutana na CHADEMA, anakubaliana na mapendekezo yote on the spot ikiwemo kutotia saini muswada, ili urudi bungeni (na ukumbuke alishasema hadharani kuwa muswada huo atautia saini haraka iwezekanavyo ili uanze kufanya kazi). Akishakubaliana na CHADEMA, Kikwete alikuwa ajiandae kukutana na yafuatayo
1. Awe tayari kuungana na umma, kumsapoti katika hili (kitu ambacho ameshindwa mara nyingi tangu umma ulipozinduka kupambana na kupinga ufisadi na mafisadi.
2. Awe tayari kukabiliana na wenzake ndani ya CCM ambao wangetumia nafasi hiyo au sababu hiyo katika vita iliyomo ndani ya chama hicho, kumwondoa katika uenyekiti
3. Hii ni ndiyo ambayo ingelikuwa kali zaidi, ajiandae kukubaliana na wabunge wa CCM na CUF, ambao wangeamua kupinga kurudishwa kwa muswada huo na hivyo hata kuamua kupiga VOTE OF NO CONFIDENCE. La sivyo angelivunja na turudi kwenye uchaguzi mkuu mwingine.
Je Rais Kikwete ana uwezo wa kusimama na kudhibiti hayo mambo. Kusimama kidete. Angelikuwa Rais makini na mwenye ushawishi, msmamo na dikteta kwa maslahi ya umma, forget about partisanship, llet's say Mwalimu Nyerere hivi, asingesaini hii sheria na bado angesimama na umma, kujenga hoja zenye mantiki, hakuna mtu CCM angesimama dhidi yake wala ndani ya bunge hakuna mtu angehoji, maana angechungulia nje na kukuta maandamano ya kumuunga mkono Rais yamepamba moto vibaya mno.
Sasa JK kaangalia hawezi kupambania Uenyekiti wake, wala ku-face Vote of no Confidence, wala kuvunja bunge na kurudi kwenye uchaguzi. Amelinda kitumbua chake, amelinda chama chake, akawaacha Watanzania waliowekeza matumaini yao kwake kupitia CHADEMA. Nani kawaangusha Watanzania KWA SASA, WAKISUBIRI MATUMAINI YA KUREKEBISHWA SHERIA HIYO, ni CHADEMA au Rais Kikwete? Kwangu mimi ni Rais.
Ameogopa kuonekana ameshawishiwa na CHADEMA, ndiyo maana wakaamua kukubaliana kuwa consultations more should be done to other stakeholders, ili isionekane issue ni ya CHADEMA pekee. Lakini stake holders karibu wote hoja ni zile zile za CHADEMA. Wakuu tufikirieni na kutafakuri vyema. CHADEMA on our behalf have tried to stop the president not to sign..., so what do u guys suggest, the next move, semeni, kusubiri mabadiliko ya sheria au kuingia barabarani...semeni si kulalamika...aaagh.