Tetesi: Camera za polisi zinashindwa kutambua 3D plate Numbers

vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
6,311
10,353
Kufuatia operesheni ya kukamata plate number za 3D, habari kutoka vyanzo visivyotaka vitambulike ni kuwa, camera za polisi zile maarafu kwa kuwakamata wadaiwa sugu wa traffic fines!

Zinashindwa kutambua plate number za 3D na hivyo kuisababishia jamhuri ya muungano wa Tozo kukosa mapato yake ya TRA ndogo aka wazee wa pesa kidogo za Brush.

Je, ni sahihi kuua ajira za maelfu ya vijana wajasiriamali waliojiongeza na kutengeneza 3d plate numbers au polisi walipaswa kutafuta camera bora zaidi kutokana na mabadiliko ya teknolojia?

Anyway mimi sina Gari wacha tuendelee kuitazama serikali ya mama inavyopambana na Tozo zake...

images.jpeg-24.jpg
 
Hapo zamani kidogo camera hazikuwepo tukalalamika sana na kushauri sana kuhusu kuletwa camera za barabarani hatimae zikaletwa na wanaofanya makosa wanapigwa faini.

Kutokana na maendeleo ya technology wajasiriamali wakagundua plate namba za 3D ambazo ni wazi kwamba ugunduzi huu ulilenga maboresho ya muonekano wa hizo plate number lakini pia kutokana na ukweli kwamba hazisomeki kwenye camera za barabarani ndio maana zikapata umaarufu wa ghafla na kwa speed kubwa sana.

Suala la kujiuliza nani amfuate mwenzake? Je raia afuate utaratibu uliopo au police wazitupe hizi camera za barabarani tulizonunua na nyingine kupewa misaada ili wanunue hizo ambazo zina uwezo wa kusoma 3D??? At whose expense???

Hivi ni kweli aina hii ya Ujasiriamali ililenga kupendezesha plate number bila kufanya mhalifu asisomeke kwenye rada? Sijui kwa nini tulazimishe budget nyingine ambazo wenyewe tunalalamika kila siku pesa ya mlipakodi inavyotumika hovyo.
 
Badala ya kuwakata watumiaji wawafungie watengenezaji na kukubali kwamba watumiaji hawana makosa. Wakiwafungia zitaisha taratibu au wabadili technolojia kama kweli hazisomeki kwenye camera
 
Kufuatia operesheni ya kukamata plate number za 3D, habari kutoka vyanzo visivyotaka vitambulike ni kuwa, camera za polisi zile maarafu kwa kuwakamata wadaiwa sugu wa traffic fines!

Zinashindwa kutambua plate number za 3D na hivyo kuisababishia jamhuri ya muungano wa Tozo kukosa mapato yake ya TRA ndogo aka wazee wa pesa kidogo za Brush.

Je, ni sahihi kuua ajira za maelfu ya vijana wajasiriamali waliojiongeza na kutengeneza 3d plate numbers au polisi walipaswa kutafuta camera bora zaidi kutokana na mabadiliko ya teknolojia?

Anyway mimi sina Gari wacha tuendelee kuitazama serikali ya mama inavyopambana na Tozo zake...

Tetesi
 
yale makampuni yanayoshinda tenda za kutengeneza plate number kama masasi sign, autocar na mengine wamekosa ubunifu na hawana uwezo wa kuwalipa wabunifu watakaowaajiri. Wajasiriamali wame take over kwa huo ubunifu wa 3D, teknolojia inakua kwa kasi ya ajabu sana siku hizi. Ukibuni hiki ukapata tenda huko serikalini wenzako nao wanabuni zaidi kukuondoa sokoni automatically. Hayo makampuni yametawala soko la plate number kwa muda mrefu mpaka wamejitokeza wabunifu wapya wasio na tbs ingawa wanapaswa kupewa ithibati na kupewa tenda za kuunda plate number japo huwa kuna kushindanishwa katika kupata tenda
 
Hapo zamani kidogo camera hazikuwepo tukalalamika sana na kushauri sana kuhusu kuletwa camera za barabarani hatimae zikaletwa na wanaofanya makosa wanapigwa faini.

Kutokana na maendeleo ya technology wajasiriamali wakagundua plate namba za 3D ambazo ni wazi kwamba ugunduzi huu ulilenga maboresho ya muonekano wa hizo plate number lakini pia kutokana na ukweli kwamba hazisomeki kwenye camera za barabarani ndio maana zikapata umaarufu wa ghafla na kwa speed kubwa sana.

Suala la kujiuliza nani amfuate mwenzake? Je raia afuate utaratibu uliopo au police wazitupe hizi camera za barabarani tulizonunua na nyingine kupewa misaada ili wanunue hizo ambazo zina uwezo wa kusoma 3D??? At whose expense???

Hivi ni kweli aina hii ya Ujasiriamali ililenga kupendezesha plate number bila kufanya mhalifu asisomeke kwenye rada? Sijui kwa nini tulazimishe budget nyingine ambazo wenyewe tunalalamika kila siku pesa ya mlipakodi inavyotumika hovyo.
Kungekuwa na likes mia ningekupa,thumb up
 
Kufuatia operesheni ya kukamata plate number za 3D, habari kutoka vyanzo visivyotaka vitambulike ni kuwa, camera za polisi zile maarafu kwa kuwakamata wadaiwa sugu wa traffic fines!

Zinashindwa kutambua plate number za 3D na hivyo kuisababishia jamhuri ya muungano wa Tozo kukosa mapato yake ya TRA ndogo aka wazee wa pesa kidogo za Brush.

Je, ni sahihi kuua ajira za maelfu ya vijana wajasiriamali waliojiongeza na kutengeneza 3d plate numbers au polisi walipaswa kutafuta camera bora zaidi kutokana na mabadiliko ya teknolojia?

Anyway mimi sina Gari wacha tuendelee kuitazama serikali ya mama inavyopambana na Tozo zake...

Zinashindwa kutambua plate number za 3D na hivyo kuisababishia jamhuri ya muungano wa Tozo kukosa mapato yake ya TRA ndogo aka wazee wa pesa kidogo za Brush.

Hawataki kwenda na tech

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo zamani kidogo camera hazikuwepo tukalalamika sana na kushauri sana kuhusu kuletwa camera za barabarani hatimae zikaletwa na wanaofanya makosa wanapigwa faini.

Kutokana na maendeleo ya technology wajasiriamali wakagundua plate namba za 3D ambazo ni wazi kwamba ugunduzi huu ulilenga maboresho ya muonekano wa hizo plate number lakini pia kutokana na ukweli kwamba hazisomeki kwenye camera za barabarani ndio maana zikapata umaarufu wa ghafla na kwa speed kubwa sana.

Suala la kujiuliza nani amfuate mwenzake? Je raia afuate utaratibu uliopo au police wazitupe hizi camera za barabarani tulizonunua na nyingine kupewa misaada ili wanunue hizo ambazo zina uwezo wa kusoma 3D??? At whose expense???

Hivi ni kweli aina hii ya Ujasiriamali ililenga kupendezesha plate number bila kufanya mhalifu asisomeke kwenye rada? Sijui kwa nini tulazimishe budget nyingine ambazo wenyewe tunalalamika kila siku pesa ya mlipakodi inavyotumika hovyo.

Umeandika kifala sana, kinachotakiwa sio kuzuia plate number za 3D bali ni Polisi ku-upgrade camera zao ili ziweze kusoma 3D. Akili za kuzuia is more of upumbavu
 
Hapo zamani kidogo camera hazikuwepo tukalalamika sana na kushauri sana kuhusu kuletwa camera za barabarani hatimae zikaletwa na wanaofanya makosa wanapigwa faini.

Kutokana na maendeleo ya technology wajasiriamali wakagundua plate namba za 3D ambazo ni wazi kwamba ugunduzi huu ulilenga maboresho ya muonekano wa hizo plate number lakini pia kutokana na ukweli kwamba hazisomeki kwenye camera za barabarani ndio maana zikapata umaarufu wa ghafla na kwa speed kubwa sana.

Suala la kujiuliza nani amfuate mwenzake? Je raia afuate utaratibu uliopo au police wazitupe hizi camera za barabarani tulizonunua na nyingine kupewa misaada ili wanunue hizo ambazo zina uwezo wa kusoma 3D??? At whose expense???

Hivi ni kweli aina hii ya Ujasiriamali ililenga kupendezesha plate number bila kufanya mhalifu asisomeke kwenye rada? Sijui kwa nini tulazimishe budget nyingine ambazo wenyewe tunalalamika kila siku pesa ya mlipakodi inavyotumika hovyo.
Aisee
 
Back
Top Bottom