Israeli waanza kuizingira Gaza huku wakipenya ndani ndani

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Nia ni kuhakikisha hamna mpiganaji wa HAMAS atakayetoroka, wote lazima wawahishwe kwa mabikira.
Japo pia Wapalestina wanakufa sana, mpaka sasa waliokufa ni zaidi ya 9,000

Hamna namna ya kuepuka mauaji ya Wapalestina maana haya magaidi yamejificha humo ndani ya watoto na akina mama.

Kombora linashambulia kifaru, ila Israeli wakipiga sehemu lilikotoka, unakuta waliokufa wengi humo ni watoto.

2023-11-01T070826Z_1_LYNXMPEJA011I_RTROPTP_4_ISRAEL-PALESTINIANS-GAZA-ATTACK-1.jpg

Armored vehicles of the Israel Defense Forces (IDF) are seen during their ground operations at a location given as Gaza in this handout image released on Nov. 1, 2023. Photo: Israel Defense Forces/Handout via REUTERS

The Israel Defense Forces (IDF) on Wednesday said that it was beginning its encirclement of Gaza City, as ground operations to destroy the Palestinian terrorist group Hamas continue to ramp up.

IDF spokesman Major (Res.) Doron Spielman described Israel’s ground campaign in neighboring Gaza, the Palestinian enclave controlled by Hamas, at a press conference.

“Today we are deep inside the Gaza Strip in northern Gaza, where our forces are arrayed around that city, beginning an encirclement of Gaza City trying to deal with these Hamas terror cells,” Spielman said. “It’s extremely difficult warfare.”

Spielman said that one of the biggest obstacles the IDF faces is that while 800,000 Palestinian civilians have fled Gaza City, more than 300,000 remain despite IDF warnings to evacuate. According to Spielman, the motivations for staying are varied.

While some civilians are unable to head south, many have voluntarily chosen to stay while others have been prevented from doing so by Hamas, which according to the Israeli military is effectively using the civilian population as human shields — a tactic often used by the terror group in past conflicts with Israel.

Israel for its part has evacuated more than 250,000 civilians from communities near the Gaza Strip and along Israel’s northern border. Spielman noted that some of those civilians are currently in the southern port city of Eilat, where Israel on Tuesday intercepted a missile attack using its “Arrow” defense system. The Iran-backed Houthis in Yemen claimed responsibility for the barrage.

Iran also backs Hamas, which has received funding, training, and other military support from the Iranian regime.
The IDF said that as of Wednesday, 15 Israeli soldiers have been killed in Gaza, with a total of 331 soldiers killed during or since Hamas’ Oct. 7 invasion of Israel in which about 1,100 civilians were slaughtered by Hamas terrorists. The IDF’s chief spokesperson, Rear Admiral Daniel Hagari, also confirmed that the total number of hostages believed to be held by Hamas in Gaza stands at 240.

In separate statements, the IDF on Wednesday said that Hamas continues to attempt infiltrations into Israel, efforts that have so far been thwarted by the Israeli military. The IDF also said they struck 11,000 Hamas targets in Gaza since Oct. 7, including a group of Hamas terrorists who on Tuesday barricaded themselves in a multistory building near a school and medical center in Jabaliya in northern Gaza.

Hagari said that so far the operation in Gaza is proceeding as planned.

“In accordance with prior planning from the Intelligence Branch, specific intelligence from the Intelligence Branch, in a joint action of our ground, sea, and air forces, our forces broke through the forward Hamas perimeter [in] the northern Gaza Strip,” he said. “The heavy air attacks continued throughout the entire day and will continue.”

Nia ni kuhakikisha hamna mpiganaji wa HAMAS atakayetoroka, wote lazima wawahishwe kwa mabikira....
Japo pia Wapalestina wanakufa sana, mpaka sasa waliokufa ni zaidi ya 9,000
Hamna namna ya kuepuka mauaji ya Wapalestina maana haya magaidi yamejificha humo ndani ya watoto na akina mama.
Kombora linashambulia kifaru, ila Israeli wakipiga sehemu lilikotoka, unakuta waliokufa wengi humo ni watoto.

2023-11-01T070826Z_1_LYNXMPEJA011I_RTROPTP_4_ISRAEL-PALESTINIANS-GAZA-ATTACK-1.jpg

Armored vehicles of the Israel Defense Forces (IDF) are seen during their ground operations at a location given as Gaza in this handout image released on Nov. 1, 2023. Photo: Israel Defense Forces/Handout via REUTERS

The Israel Defense Forces (IDF) on Wednesday said that it was beginning its encirclement of Gaza City, as ground operations to destroy the Palestinian terrorist group Hamas continue to ramp up.
IDF spokesman Major (Res.) Doron Spielman described Israel’s ground campaign in neighboring Gaza, the Palestinian enclave controlled by Hamas, at a press conference.
“Today we are deep inside the Gaza Strip in northern Gaza, where our forces are arrayed around that city, beginning an encirclement of Gaza City trying to deal with these Hamas terror cells,” Spielman said. “It’s extremely difficult warfare.”
Spielman said that one of the biggest obstacles the IDF faces is that while 800,000 Palestinian civilians have fled Gaza City, more than 300,000 remain despite IDF warnings to evacuate. According to Spielman, the motivations for staying are varied. While some civilians are unable to head south, many have voluntarily chosen to stay while others have been prevented from doing so by Hamas, which according to the Israeli military is effectively using the civilian population as human shields — a tactic often used by the terror group in past conflicts with Israel.
Israel for its part has evacuated more than 250,000 civilians from communities near the Gaza Strip and along Israel’s northern border. Spielman noted that some of those civilians are currently in the southern port city of Eilat, where Israel on Tuesday intercepted a missile attack using its “Arrow” defense system. The Iran-backed Houthis in Yemen claimed responsibility for the barrage.
Iran also backs Hamas, which has received funding, training, and other military support from the Iranian regime.
The IDF said that as of Wednesday, 15 Israeli soldiers have been killed in Gaza, with a total of 331 soldiers killed during or since Hamas’ Oct. 7 invasion of Israel in which about 1,100 civilians were slaughtered by Hamas terrorists. The IDF’s chief spokesperson, Rear Admiral Daniel Hagari, also confirmed that the total number of hostages believed to be held by Hamas in Gaza stands at 240.
In separate statements, the IDF on Wednesday said that Hamas continues to attempt infiltrations into Israel, efforts that have so far been thwarted by the Israeli military. The IDF also said they struck 11,000 Hamas targets in Gaza since Oct. 7, including a group of Hamas terrorists who on Tuesday barricaded themselves in a multistory building near a school and medical center in Jabaliya in northern Gaza.
Hagari said that so far the operation in Gaza is proceeding as planned.
“In accordance with prior planning from the Intelligence Branch, specific intelligence from the Intelligence Branch, in a joint action of our ground, sea, and air forces, our forces broke through the forward Hamas perimeter [in] the northern Gaza Strip,” he said. “The heavy air attacks continued throughout the entire day and will continue.”

Jamaa unachuki na waislam 100%. Wewe ni hatari sana.
Any way. Muislam hajawahi kushindwa na kafiri.
 
Na mtakufa sana hadi mjifunze kuishi na binadamu wengine kwa amani, mumezoea kuchinja Wakristo mnavumiliwa, ila ugaidi wenu mkapeleka kwa Myahudi. aisei mliingia cha kike maana Myahudi akiamua kufanya ukatili haachii, yaani kuna vitu vinafanywa na Israel kwenye hivi vita mpaka nimejikuta nashindwa kuwashabikia maana ni unyama fulani hivi.
 
Jamaa unachuki na waislam 100%. Wewe ni hatari sana.
Any way. Muislam hajawahi kushindwa na kafiri.
Muislam gani hajawahi shindwa na kafir? wakati mnalialia kama watoto, kwani hao walio mapangoni kama nguchiro leo ni makafir wa wapi? jitambue duniani hapa wenye shida nyingi ni waislamu.

Hata Afrika wenye shida ni waislamu, cheki somalia, sudani, nigeria, morroco(western sahara) mali, burkina faso, niger, nk. Nahisi hujitambuhi huna akili braza
 
Nenda darasana kapate elimu.....Acha kuangalia ma TV BBC na CNN umekaa tu kwenye sofa....

Fatilia mkasa wa Libya mdo utajua na uko kwengine Sudan,Somalia n.k
 
View: https://youtu.be/DlRlzL6Atuk?si=MC7UjohcnQhN8ZQ7

Wayahudi watashindwa tu I swear. hata kama ni miaka 100 ijayo, watashindwa time. Take my words.
Hata wakiua watu milioni moja watazaliwa wengine na hawatakaa kwa amani kwamwe hapo hadi Palestine iwe huru.

Wazayuni wamelaaniwa duniani na mbinguni

FREE FREE PALESTINE

Wewe umezaliwa juzi unavimbiwa ubwabwa na kusema Wayahudi watashindwa, mumeshindwa kuwamaliza tangu mungu wenu muarabu alipoagiza hapa

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
 
Hapo palestina n nn kinaendelea kwani?
Waacheni basi huru hao wapalestina na wao wasaidiwe silaha na mambo mengine kwenye nchi yao muone hiyo Israel itakavyochakazwa.
Mmefunga mipaka yote na huku mnasaidiwa na US na West yote na bado tu angalau hamas wanajitahidi kuwachapa.
Siku Israel ikiwekwa kwenye kundi kama la hamas ikawa haipati msaada na imesusiwa na nchi zingine hapo ndio mtaona cha mtema kuni. Nakwambia hii kitu ipo siku itageuka na haya wanayopitia Palestine yatakuwa upande wa Israel. It's just a matter of time
 
Wewe umezaliwa juzi unavimbiwa ubwabwa na kusema Wayahudi watashindwa, mumeshindwa kuwamaliza tangu mungu wenu muarabu alipoagiza hapa

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Hawatamalizwa ila watanyooshwa. Hao Israel dawa yao inachemka jikoni. Hizo hasira za wapalestina zitadumu vizazi na vizazi
 
JUST IN: Israeli Officers Acknowledge Hamas' Strong Resistance in Gaza

- Israel is noting that the level of field combat and Hamas' resistance surpasses previous experiences, according to sources

- Israeli officers recognize that Hamas has thoroughly prepared itself for ground combat.
 
View: https://youtu.be/DlRlzL6Atuk?si=MC7UjohcnQhN8ZQ7

Wayahudi watashindwa tu I swear. hata kama ni miaka 100 ijayo, watashindwa time. Take my words.
Hata wakiua watu milioni moja watazaliwa wengine na hawatakaa kwa amani kwamwe hapo hadi Palestine iwe huru.

Wazayuni wamelaaniwa duniani na mbinguni

FREE FREE PALESTINE

Hakuna nchi inaitwa Palestine , ni Habari ya kufikirika tu.
The word Palestine derives from Philistia, the name given by Greek writers to the land of the Philistines, who in the 12th century bce occupied a small pocket of land on the southern coast, between modern Tel Aviv–Yafo and Gaza.
 
Umesema nchi ya Philistine ilikuwepo toka karne ya 12. Hiyo nchi ya Israel ilikuwepo toka lini? Mwaka 1948 ndio Israel imezaliwa tena kwa kuua watu na kunyanganya ardhi zao.

Palestine will be free whether you like it or not. It's just a matter of time
 
Hawatamalizwa ila watanyooshwa. Hao Israel dawa yao inachemka jikoni. Hizo hasira za wapalestina zitadumu vizazi na vizazi

Wenzako wanakimbia ngome, wewe upo unaandika andika tu...
 
Back
Top Bottom