Israeli inasema malengo yao Gaza kaskazini yamefikiwa huku utawala wa Hamas ukisambaratishiwa mbali,yaainisha malengo matano ambayo yalikusudiwa.

Samson Ngomboli

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
1,431
2,241

Israeli inasema uongozi wa Hamas umesambaratishwa Gaza kaskazini Msemaji wa jeshi Daniel Hagari amewaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo wa Kipalestina sasa wanaendesha shughuli zao katika eneo hilo "bila ya makamanda".

Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) sasa vinalenga kuisambaratisha Hamas kusini na katikati mwa Gaza, alisema. Israel imeua zaidi ya watu 22,000 tangu vita hivyo kuanza, kwa mujibu wa wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas.
"""""''''''''""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""

IDF discloses five objectives for military campaign in north Gaza​

Overnight, IDF spokesman Daniel Hagari has said it has "completed the dismantling of Hamas's military framework" in northern Gaza.
He claimed 8,000 Hamas fighters had been killed, though gave no evidence.
There were five objectives for the campaign in the north, he said:
  • Targeting commanders
  • Purge the area of terrorists
  • Gather intelligence
  • Locate and destroy rockets
  • Eliminate the subterranean capability (tunnels)
He said now forces were "focusing on dismantling Hamas in the central and southern Gaza Strip".
"We will do this differently, thoroughly, based on the lessons we have learned from the fighting so far," he said.
Mr Hagari went on to say in the Jabalia area, the IDF had "eliminated the battalion commander".
He added: "Jabalia is a densely populated area. Before entering such a dense area for combat, we evacuate the population, aiming to prevent harm and protect the civilians."
 
vipi kukomboa mateka siyo malengo vipi tapata tenda ya vyama chakavu huko Gaza vile vifaru na magari ya vita yaliharibiwa na Hamas.

Vipi malengo ya vifo vya wanajeshi vingapi?

Malengo ya wanajeshi vilema wangapi?
 
vipi kukomboa mateka siyo malengo vipi tapata tenda ya vyama chakavu huko Gaza vile vifaru na magari ya vita yaliharibiwa na Hamas.

Vipi malengo ya vifo vya wanajeshi vingapi?

Malengo ya wanajeshi vilema wangapi?
Lengo Kule kaskazini ilikuwa kusambaratisha mtandao wa Hamas na limefanikiwa.
 
vipi kukomboa mateka siyo malengo vipi tapata tenda ya vyama chakavu huko Gaza vile vifaru na magari ya vita yaliharibiwa na Hamas.

Vipi malengo ya vifo vya wanajeshi vingapi?

Malengo ya wanajeshi vilema wangapi?
Hawa vichaa wanaleta story kutoka Israel za propoganda, tazama leo TV ya Israel ilijidai kufanya mahojiano pale Gaza live iliwaonyeshe kweli wamewamaliza Hamasi, ikawa vichekesho walikimbia kwenda jificha


View: https://youtu.be/xQy6MuxGP3k?si=7Ex17QYGhjUxjEHx
 
Hii ni mara ya pili Israel inatangaza habari kama hii.
Kwa sasa serikali iko chini ya shinikizo la raia hivyo ni razima watoe taarifa za kuwafumba macho raia wao .
Muandishi aliye fichua takimu halisi za vifo na majeruhi vitani wamemuuwa.
 
ungesema jeshi la Israel wamekimbia kaskazini ningekubaliana na wewe, kaskazii hakuna hata askari wa Israel labda pale km 1 kutoka border na kule watakimbia tu
Wewe unasema hakuna askari wakati kila siku maafa yanalipotiwa kutoka kaskazini;kwani huwa husomi taarifa mkuu?.
 
😄 walikimbilia South walidhani kule wataonyesha misuli, kumbe kule kuna moto mkali kama wa kaskazini.

We baki unakula mhogo kwa mtama, wenzako wanakula kwa karanga.
Wenzio Kule wamepata kipigo cha maana wamepoteana wewe kibodi woria unabisha.
 
Back
Top Bottom