Monstgala
JF-Expert Member
- Aug 25, 2009
- 1,079
- 1,034
Afu we masanja wa wapi wewe? Eti protectorate ya Sultan, umesoma wapi hasa? Uyo Sultan Zanzibar alikua under british protectorate? Afu alokudanganya kuwa Msultan anataka kuja bara nani? Khah we wataka chekesha ukumbi hebu soma historia makao makuu ya Sultan yalikuwa wapi? Ukanda wa pwani wa tanganyika ilikuwa ni dola ya zenji lakini ameiacha huru kwa wajerumani, lakini znz hakuiacha kwanini? Hakuwa na intrest na wabara kabisaaa, intrest ni visiwani! Masanja nani kakudanganya wewe kama mwarabu ana intrest na bara?
Hahaha! hii urojo inafurahia kutawaliwa na mwarabu! Kweli utumwa wa fikra ndio mbaya kabisa maishani.