Ismail Jussa amtukana Sitta, Nyerere na wa Tz Bara!

jussa anachuki kubwa na wabara. hataki muungano. hata sisi wabara tunataka tanganyika yetu. cha msingi ni kuachana kwa amani sio kutukana waasisi kwani muungano ulikuwa unafaida sana hapo awali. huenda bila muungano zanzibar leo isingekuwepo au ingekuwa na wakimbizi. muungano ni mzuri ila tukubaliane aina ya muungano kwa pande zote mbili. jussa mbona tindu lissu akisema munakuwa wakali munalalamika nini sasa. lisu siku zote anataka usawa katika muungano munaungana na wana c.c.m kumchamba lissu. ubinfsi si mzuru
 
Back
Top Bottom