UCHAGUZI WOWOTE watu wa Bara hawatawapigia kura waliotokea Zanzibar
Watu wa Zanzibar wamekuwa sehemu ya kuharibu rasilimali za Bara (Tanganyika) ubaguzi
Kuingilia mambo yasiyo ya Muungano kujipa nafasi mbalimbali , kuuza bandari kufukuza Wamasai, kutumia viongozi wa Zanzibar katika nafasi zao za ukuu wa wilaya kunyanganya ardhi na kujimilikisha mfano Shaka hamdu Shaka huko aliko
Ni Dhahiri vijiji kote na maeneo mengi, suala la Tundu lissu kusema ukweli kuhusu Uzanzibari kila mtu ameipata somo
Ni wakati sasa kila serikali jitegemee Suala la muungano lisiwe sehemu ya Ardhi na fursa za maamuzi kwa watu wa Zanzibar ndani ya Tanganyika (Bara)
Katika chaguzi zozote zile yeyote ambaye ni Mzanzibari ndani ya Tanganyika (Bara) asipigiwe kura.. enough is enough