Mkuu Mwafrika hawa mujahidina wanazaliwa na akili nzuri, taabu inaanza pale wanapojiunga na madrassa.
Yaani nakuambia yule Boko Haram (haramu) anaweza kuwa afadhali kuliko hawa mujahidina wetu. Nakuhakikishia kuwa kama kungekuwa na kiwanda cha kuwageuza rangi wawe waarabu basi ungewaona wote wamejipanga huko tayari kwa surgery.