kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
aise hii thread haiwezi ikanipita hivi hivi.na mimi naweka madini yangu.
ni hivi kwa sasa mda umewatupa nyuma sana ndugu zetu waislam kutafata nani aliyewafikisha hapo mlipo,hilo halitasaidia.
mtafanya tafiti nyingi juu ya hili lakini haitawasaidia.lazima mkubari kuwa wakristo tume/wamewawacha nyuma kielimu.mnachotakiwa muamke sasa na kumkimbilia elimu(sio ilimu)kwa juhudi zote ili muende samababa na wakristo ktk nyanja zote.