Ishue ya mafao BBC live, NSSF, PPF

Ahaa nimekumbuka sasa why all this kuna siku CAG alizungumzia kuhusu hii mifuko ya hifadhi ya jamii kufa coz ya madeni yanayoidai serekani na serekali haijalipa so wameona ujanja ni kuzuia mafao ya wananchi mpaka miaka 55 au 60 duh,hapa tunahitaji ufumbuzi lasivyo inakula kwetu sie masikini
 
Huyu Harold Sungusia anastahili kuwa Jaji wa nchi hii kwani jamaa ni kichwa na hana makuu katika hili nadhani kwenda mahakamani itatuchelewe kuandamana tutaingilia uhuru wa mahakama sisi tuingie barabarani tu yanini nifanye kazi wakati baada ya mwaka sina ajira nikae kapa mpaka miaka sitini ndo nipewe changu hapa ni vita tu
 
Life expectance miaka 42, kuchukua mafao miaka 55????????? Wanataka kutufanyaje hawa jamaa. Huu ni wizi wazi wazi
 
Serekali ya CCM, kwa mara ya kwanza inakaribisha machafuko nchini. Bora kieleweke kimoja tu, wanachi atutaki sheria hii. Na liwalo na liwe tu.
 
Tuna vyama vya wafanyakazi TUICO, CHODAWU etc...... mimi naona wapo kimya kwa hili...yaani haiwezekani. wafute sheria hizi za kijinga.. za kiukandamizi na uonevu. its against human rights... nipewe hela yangu mapema kabla sijafa.. umenifukuza kazi nina miaka 29 nitajikimu vipi, kiinua mgongo chenyewe hakitoshi... yaani unakula siku moja tu...
 
Life expectance miaka 42, kuchukua mafao miaka 55????????? Wanataka kutufanyaje hawa jamaa. Huu ni wizi wazi wazi

Hapo ndo tujue madhara ya wanaoafiki waseme ndioooooooooooooo. too silly Haya majamaa utadhani yanatokea sayari ya Jupiter akili hamna.
 
Back
Top Bottom