Is this wife a thug or robber?

Prime Dynamics

JF-Expert Member
Dec 30, 2010
551
249
Today’s woman is full of surprises. A lot of things can result in a woman stealing her husband’s money, but the most common excuse is when a man does not cover his responsibilities at home and the woman is not working. Staying together has a way of exposing all the annoying behaviors that are otherwise hidden during dating. Irritating as a woman may be, a man may decide to ignore or live with her for the rest of his life. A poor man may die without ever knowing that slowly, his trusted woman was a qualified thug in the house who used to steal his cash. Some women will go for their husband’s wallet, pulling out a few notes each time it seems overly stuffed. A good number of men never notice even when their wives remove half the money. A man may reason that he unknowingly overspent in a bar with friends the previous night and forgets about the incident. I don’t know how I should term such an act, is this called stealing or daylight robbery?
Kwa waliona wanawake kama hawa mimi I advice you to do one thing, when at home, while going for a shower move along with your wallet to the bathroom. Or keep your wallet under the car seat every end of the day. Ipo siku your wife will ask, if you had lost your wallet!
 
Did you say i should go to the bathroom with my wallet,heaven forbade.We live in a cashless society nowadays,the wallet has only cards so unless she steals your pin she is bound to come out empty handed
 
Hayo unayolalamikia ni cha mtoto,na bado....... we mkeo kujichukulia kidogo tu kwenye wallet unalalamika?Katika nchi zilizoendelea wanaume ndio hawana thamani kiabisa na wanalia kila siku,wanaenda kazini kila siku na kadi ya benki na malipo yote anabaki nayo mke ambaye ni mama wa nyumbani,na ukirudi unaingia jikoni kumpikia na usipopika vizuri unaambiwa kuwa chakula chako sijakipenda naenda kula out,wewe unaachwa nyumbani na akisharudi wakati wa kulala ukifika una kazi ya kumbembeleza mpaka alale vinginevyo anakuitia polisi unamnyanyasa na polisi wanakupeleka kituoni kuandika maelezo.Kwa hiyo hawa wa hivi ni kuwavumilia tu na kushauriana na tuombe Mungu tusifike walipofikia wanawake wa wenzetu
 
Today's woman is full of surprises. A lot of things can result in a woman stealing her husband's money, but the most common excuse is when a man does not cover his responsibilities at home and the woman is not working. Staying together has a way of exposing all the annoying behaviors that are otherwise hidden during dating. Irritating as a woman may be, a man may decide to ignore or live with her for the rest of his life. A poor man may die without ever knowing that slowly, his trusted woman was a qualified thug in the house who used to steal his cash. Some women will go for their husband's wallet, pulling out a few notes each time it seems overly stuffed. A good number of men never notice even when their wives remove half the money. A man may reason that he unknowingly overspent in a bar with friends the previous night and forgets about the incident. I don't know how I should term such an act, is this called stealing or daylight robbery?
Kwa waliona wanawake kama hawa mimi I advice you to do one thing, when at home, while going for a shower move along with your wallet to the bathroom. Or keep your wallet under the car seat every end of the day. Ipo siku your wife will ask, if you had lost your wallet!

Do you know why we have banks at our service?
 
Do you know why we have banks at our service?

I think you never got the concept. Do you want to say that banks are open 24hrs? what if you got the cash at late hours how do you go about it, will you reject the payment just bcoz banks are closed? doesn't ring a bell
 
“Women may be married for four things: their wealth, their lineage, their beauty and their religious commitment. Choose the one who is religiously-committed, may your hands be rubbed with dust (i.e., may you prosper).
Muhammd SAW.
 
bora kipi?
akuibie wewe au akamegwe nje apewe huko nje?

Duh Boss, tatizo ni kwamba unakuta budget ya nyumbani hakuna shida, ila mwanamume awekapo suruwale chini ikiwa na wallet, wanamke anaivizia na kuzama mifukoni. Ole wako kesho yake uende dukani kunua vocha, kabla huja lipa tayari ulisha weka kwenye simu, ukizama mfukoni kutoa pesa hukuti kitu. sasa sijui mwenye duka utamwachia simu?
 
dawa ni kumkabidhi pesa zote za matumizi...
ukitaka vocha unamwambia kaninuulie vocha....
 
mwanamke akipata huduma zote anazostahili kupata HAWEZI WALA HANA SABABU YA KUCHUKUA PESA KWENYE WALLET YA MUMEWE PASIPO KUMJULISHA MUKE / WIZI...wale wooote wanaolalamika kuwa ETI wanaibiwa kwenye wallet na wake zao ni wale WASIOTIMIZA WAJIBU YA KUITUNZA FAMILIA NA MKE,,,,lakin pia SIYO NJIA SAHIHI MWANAMKE KUMWIBIA MUMEO NI BORA UCHUKUE ANAPOKUONA NA UMWAMBIE SABABU YA KUCHUKUA HIZO PESA.
WANAUME ACHANI KUONESHA SIFA KWA MATUMIZI MAKUBWA NJE YA FAMILIA ZENU HUKU MKISAHAU KUZIHUDUMIA FAMILIA ZENU.....AU HAMJUI KUWA MWONEKANO WA MKEO NDIYO THAMANI YAKO MWANAUME???,,,EG ,,UKIMWONA MKEO /FAMILIA YAKO CHAFU HAIPENZI UJUE NDIYO THAMANI YAKO MWANAUME KTK JAMII HATA KAMA UKO NJE UNAJIFANYA WEWE MILLIONEA.
 
Sio jambo zuri kwa mwanamke kudokoa lakini zipo sababu zinapelekea yeye kufanya hivyo
Wanaume walio wengi wanaangalia mahitaji ya familia ndani ya nyumba na kusahau pia mahitaji ya mkewe, pindi anapotakiwa kufanya hivyo visingizio kibao, lakini kwenye mpango wa kando wala haulizwi, bila kusahau umaharufu bar.
 
Kwa nini humwachii "power of attorney" au account yako. Yeye ana mipango mizuri ya matumizi hadi utashangaa. Mwanamke ukianza kumbania matumizi mwisho unamlazimisha kusach mifuko yako na akikosa humo usishangae baba huruma wanakusaidia matunzo.
 
mwanamke akipata huduma zote anazostahili kupata HAWEZI WALA HANA SABABU YA KUCHUKUA PESA KWENYE WALLET YA MUMEWE PASIPO KUMJULISHA MUKE / WIZI...wale wooote wanaolalamika kuwa ETI wanaibiwa kwenye wallet na wake zao ni wale WASIOTIMIZA WAJIBU YA KUITUNZA FAMILIA NA MKE,,,,lakin pia SIYO NJIA SAHIHI MWANAMKE KUMWIBIA MUMEO NI BORA UCHUKUE ANAPOKUONA NA UMWAMBIE SABABU YA KUCHUKUA HIZO PESA.
WANAUME ACHANI KUONESHA SIFA KWA MATUMIZI MAKUBWA NJE YA FAMILIA ZENU HUKU MKISAHAU KUZIHUDUMIA FAMILIA ZENU.....AU HAMJUI KUWA MWONEKANO WA MKEO NDIYO THAMANI YAKO MWANAUME???,,,EG ,,UKIMWONA MKEO /FAMILIA YAKO CHAFU HAIPENZI UJUE NDIYO THAMANI YAKO MWANAUME KTK JAMII HATA KAMA UKO NJE UNAJIFANYA WEWE MILLIONEA.

Asante kwa kuiweka sawa hii. mimi nadhani wanaume wanaoibiwa ndo wale ambao kutoa pesa kwa wake zao ni kesi, anadhani akishatoa elfu tyano inatosha, na wengine hawatoi kabisa na wakiombwa ni ugonvi, matokeo ndo hjaya, myu ukichoka makelele unawinda tu wallet ilipo, after all its your right na sio wizi, ila mumeo anapojaribu kukunyima haki yako ya kimsingi kama mke lazima uipate no matter how.
 
dawa ni kumkabidhi pesa zote za matumizi...
ukitaka vocha unamwambia kaninuulie vocha....

wanaume hawa wa siku hizi, wengi wao ni selfish, wanadhani akishakuridhisha kitandani ndo katimiza wajibu, kiukweli wanaume wengi wanajisahau sana linapokuja swala la responsibilities. na matokeo ndo kama hayo.
 
Hayo unayolalamikia ni cha mtoto,na bado....... we mkeo kujichukulia kidogo tu kwenye wallet unalalamika?Katika nchi zilizoendelea wanaume ndio hawana thamani kiabisa na wanalia kila siku,wanaenda kazini kila siku na kadi ya benki na malipo yote anabaki nayo mke ambaye ni mama wa nyumbani,na ukirudi unaingia jikoni kumpikia na usipopika vizuri unaambiwa kuwa chakula chako sijakipenda naenda kula out,wewe unaachwa nyumbani na akisharudi wakati wa kulala ukifika una kazi ya kumbembeleza mpaka alale vinginevyo anakuitia polisi unamnyanyasa na polisi wanakupeleka kituoni kuandika maelezo.Kwa hiyo hawa wa hivi ni kuwavumilia tu na kushauriana na tuombe Mungu tusifike walipofikia wanawake wa wenzetu

wengine wanapenda kushare na malaya kuliko hata familia zao, au hata kama si malaya ile hali ya kupenda kujionyesha mbele za watu, kununua bia kibao, michango ya harusi laki laki na wakati mke akiomba hata nauli ya mtoto ya shule anaambiwa atoe pesa zake, it sucks.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom