Have you ever heard of a husband who is a miser????? Such are the ones whose wife would half empty his pocket
dawa ni kumkabidhi pesa zote za matumizi...
ukitaka vocha unamwambia kaninuulie vocha....
Duh Boss, tatizo ni kwamba unakuta budget ya nyumbani hakuna shida, ila mwanamume awekapo suruwale chini ikiwa na wallet, wanamke anaivizia na kuzama mifukoni. Ole wako kesho yake uende dukani kunua vocha, kabla huja lipa tayari ulisha weka kwenye simu, ukizama mfukoni kutoa pesa hukuti kitu. sasa sijui mwenye duka utamwachia simu?
mwanamke akipata huduma zote anazostahili kupata HAWEZI WALA HANA SABABU YA KUCHUKUA PESA KWENYE WALLET YA MUMEWE PASIPO KUMJULISHA MUKE / WIZI...wale wooote wanaolalamika kuwa ETI wanaibiwa kwenye wallet na wake zao ni wale WASIOTIMIZA WAJIBU YA KUITUNZA FAMILIA NA MKE,,,,lakin pia SIYO NJIA SAHIHI MWANAMKE KUMWIBIA MUMEO NI BORA UCHUKUE ANAPOKUONA NA UMWAMBIE SABABU YA KUCHUKUA HIZO PESA.
WANAUME ACHANI KUONESHA SIFA KWA MATUMIZI MAKUBWA NJE YA FAMILIA ZENU HUKU MKISAHAU KUZIHUDUMIA FAMILIA ZENU.....AU HAMJUI KUWA MWONEKANO WA MKEO NDIYO THAMANI YAKO MWANAUME???,,,EG ,,UKIMWONA MKEO /FAMILIA YAKO CHAFU HAIPENZI UJUE NDIYO THAMANI YAKO MWANAUME KTK JAMII HATA KAMA UKO NJE UNAJIFANYA WEWE MILLIONEA.
wengine wanapenda kushare na malaya kuliko hata familia zao, au hata kama si malaya ile hali ya kupenda kujionyesha mbele za watu, kununua bia kibao, michango ya harusi laki laki na wakati mke akiomba hata nauli ya mtoto ya shule anaambiwa atoe pesa zake, it sucks.
Did you say i should go to the bathroom with my wallet,heaven forbade.We live in a cashless society nowadays,the wallet has only cards so unless she steals your pin she is bound to come out empty handed
Todays woman is full of surprises. A lot of things can result in a woman stealing her husbands money, but the most common excuse is when a man does not cover his responsibilities at home and the woman is not working. Staying together has a way of exposing all the annoying behaviors that are otherwise hidden during dating. Irritating as a woman may be, a man may decide to ignore or live with her for the rest of his life. A poor man may die without ever knowing that slowly, his trusted woman was a qualified thug in the house who used to steal his cash. Some women will go for their husbands wallet, pulling out a few notes each time it seems overly stuffed. A good number of men never notice even when their wives remove half the money. A man may reason that he unknowingly overspent in a bar with friends the previous night and forgets about the incident. I dont know how I should term such an act, is this called stealing or daylight robbery?
Kwa waliona wanawake kama hawa mimi I advice you to do one thing, when at home, while going for a shower move along with your wallet to the bathroom. Or keep your wallet under the car seat every end of the day. Ipo siku your wife will ask, if you had lost your wallet!
huyo ambae bdget ya nymbn hkna shda na bdo anachmoa walet ni mwizi, na wewe icjekuwa bdget ya hm unayozungmzia ni vyakula kujaa kwny frdge? Manake mkeo km hafny kaz inabd uwe unampatia pocket money kwaajil ya mahtaj yake bnafsi. Hapo hutamwona akhangaika na walet yko.
usipokubali mkeo atumie pesa zako
basi ukubali ku share huyo mke na wenzio wasio bahili....
wengine wanapenda kushare na malaya kuliko hata familia zao, au hata kama si malaya ile hali ya kupenda kujionyesha mbele za watu, kununua bia kibao, michango ya harusi laki laki na wakati mke akiomba hata nauli ya mtoto ya shule anaambiwa atoe pesa zake, it sucks.
Wanawake ni wadokozi. Siju kama yupo asiye zama kwenye walet za wazee .Ukimpata huyo shukuru maana atakuwa kweli kuku wa kienyeji.