dume30
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 391
- 219
Hajimemashte , Watashi no namae wa John desi Yoroshiku onegai shimasi .
Natafuta Mtanzania ambae yupo JF na anajua Kijapan , nahitaji mtu wa kuongea nae/kuchat nae lugha hiyo , level yangu kwenye Lugha hyo ni bigginer , Nahitaji mtu huyo hili nifanye practice kwa nlichonacho kwa madhumuni yangu maalum.
Ntashukuru kama ntampata walau mmoja