Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,262
Babu umeeleweka zaidi ya kueleweka Babu aksante sana kwa kulifafanua vizuri. Hii ni kweli kabisa na bila kupenda inaangukia kwenye kundi la kwanza and hapo pa kuwa vulnerable ndipo mmjukuu wako ninapojikinga napo. Yes tunakuita kutengana but unaona kabisa hakuna dalili ya kurudiana kwa upande mmoja wakati upande mwingine unatake things for granted eti once married, you are married. Ni upande mmoja tu unaoona hakuna future huko mbele wakati upande mwingine unaona kuwa hata hilo giza kwake ni haki yake. hautaki kukubali kuacha simply because anakomoa! So unakuta anakimbilia kujishow off kwa ndugu kuwa anakupenda sana basi tu ni wewe ndie unayelichakachua penzi lake tena mwanaume mzima akashtakie uwongo na machozi juu wakati kwako anaact wierdly.
Kusema ukweli babu hata sielewi natamani nikamate ndugu wanaomtetea nitandike viboko kwa sababu hawako tayari kuopen up macho yao waone the reality.
Kumbe nimegonga ikulu hapo juu nilikuwa sijaona hii post kha??? Hakufai huyo kwanini atumie ndugu wakati akikutongoza hao ndugu walikuwepo??? Hebu asikupe stress zisizo na maana huyo ongea na ndugu zako na uwaeleweshe vizuri