MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Wapendwa ninatumaini wote mu wazima.
Ninaomba msaada wenu
Eti inawezekana kwa wazazi waliotengana wakabaki marafiki? Kuwa kwa kuwa mmejaaliwa mtoto/watoto kisha mkatengana, na mnajua kabisa (or at least upande mmoja unajua kabisa kuwa hakuna possibility ya kurudiana- mnaweza mkawa mnaalikana/particippate kwenye shughuli za familia mf. arusi na sometimes kuwatoa watoto wenu out kwa pamoja??
Is it possible? Maana naona hii anger management course itanishinda!