Is It Possible?

Babu umeeleweka zaidi ya kueleweka Babu aksante sana kwa kulifafanua vizuri. Hii ni kweli kabisa na bila kupenda inaangukia kwenye kundi la kwanza and hapo pa kuwa vulnerable ndipo mmjukuu wako ninapojikinga napo. Yes tunakuita kutengana but unaona kabisa hakuna dalili ya kurudiana kwa upande mmoja wakati upande mwingine unatake things for granted eti once married, you are married. Ni upande mmoja tu unaoona hakuna future huko mbele wakati upande mwingine unaona kuwa hata hilo giza kwake ni haki yake. hautaki kukubali kuacha simply because anakomoa! So unakuta anakimbilia kujishow off kwa ndugu kuwa anakupenda sana basi tu ni wewe ndie unayelichakachua penzi lake tena mwanaume mzima akashtakie uwongo na machozi juu wakati kwako anaact wierdly.

Kusema ukweli babu hata sielewi natamani nikamate ndugu wanaomtetea nitandike viboko kwa sababu hawako tayari kuopen up macho yao waone the reality.

Kumbe nimegonga ikulu hapo juu nilikuwa sijaona hii post kha??? Hakufai huyo kwanini atumie ndugu wakati akikutongoza hao ndugu walikuwepo??? Hebu asikupe stress zisizo na maana huyo ongea na ndugu zako na uwaeleweshe vizuri
 
Kama mmeridhia wote wawili kuwa you cant be together anymore. But kama mmoja bado ana yale majigambo ya mie najua kuoa tu, kuacha sijui ilhali bado anafanya madudu, bado anaabuse halafu anakuja kujisafisha kwa ndugu kwa maneno na pretendencies kibao bedo kuna haja ya hiyo cordial relationship?? Huo ucivil unakuja vipi hapo??

Hilo ni gamba tena la nguvu,

Stuka haraka dada na kulivua kama vile hujawahi kuliona au kulijua!! Ukichelewa chelewa litakuwa kama shell ya kobe na itakuwa ngumu kuondokana nalo!!

Babu umeeleweka zaidi ya kueleweka Babu aksante sana kwa kulifafanua vizuri. Hii ni kweli kabisa na bila kupenda inaangukia kwenye kundi la kwanza and hapo pa kuwa vulnerable ndipo mmjukuu wako ninapojikinga napo. Yes tunakuita kutengana but unaona kabisa hakuna dalili ya kurudiana kwa upande mmoja wakati upande mwingine unatake things for granted eti once married, you are married. Ni upande mmoja tu unaoona hakuna future huko mbele wakati upande mwingine unaona kuwa hata hilo giza kwake ni haki yake. hautaki kukubali kuacha simply because anakomoa! So unakuta anakimbilia kujishow off kwa ndugu kuwa anakupenda sana basi tu ni wewe ndie unayelichakachua penzi lake tena mwanaume mzima akashtakie uwongo na machozi juu wakati kwako anaact wierdly.

Kusema ukweli babu hata sielewi natamani nikamate ndugu wanaomtetea nitandike viboko kwa sababu hawako tayari kuopen up macho yao waone the reality.

Hao ndugu wanaweza kuwa wameamua kuwa kama wafuasi wa mafisadi....Acha kumsikiliza mtu katika dakika mbaya kama hizi.. Sikiliza mapigo ya moyo wako tu...As longer as hayakuelekezi kujidhuru.....songa mbele!!

Itakuuma ila hayo maumivu yataisha kama unavyoisha uchungu wa labour au msiba!!

Kwa heri,

Babu DC!
 
Binafsi sipendi kuona wanandoa wakiachana iwe kwa sababu yeyote ile.....lakini hata kama kwa bahati mbaya mkiachana hakuna nafasi ya kurudiana tena? Inawezekana upande mmoja umejifunza na kujutia hayo maamuzi ndio maana unataka tena kuwa karibu na ikiwezekana wasahau tofauti zao. Mambo ya ndoa hayana principles kwamba nitafanya hivi au vile...ni maelewano ya watu wawili zaidi na yanatawaliwa na emotionals na pia ni situational zaidi.
 
MJ1,

Hii thread sijui imenipita pitaje aisee.

Haya mambo ya kuachana yana mambo mengi sana
maana kuna wengine mnatengana (upande mmoja unakuwa haujaridhika)
haya ndo yanaweza kutokea. But all in all mie siwezi kuruhusu haya mambo
yanitokee maana mmezaa na inawezekana mmeishi pamoja mnajuana in and out
huyo asiyeridhika na hayo maamuzi atakuja na kujileta leta karibu ili mradi tu
muendelee na mawasiliano tushaachana ya nini kufatana fatana kila mtu ashike time yake
eti anakuja kwenye harusi, msiba sijui sherehe gani inahuu aendelee na mambo yake

Kuna mambo mengine mie huwa yananichosha na kunitia hasira sometimes
MJ1 piga stop haraka hiyo kitu asikuzoee zoee alah!
Watu wengine hawabebeki kabisa maana unambeba halafu anakukata na wembe mgongoni.

Kiukweli usikaribishe hayo mahusiano ya karibu kiviile kama anaulizia mtoto wake mara moja moja si
mbaya lakini sio kujiweka weka karibu na familia yako anataka??? Mie naona anatafuta kuonewa
huruma na wewe uambiwe mwenzio mbona bado anakupenda na ni mtu mzuri hebu msamehe
Hana lolote nakwambia huyo. Chuna kwa mbali

DA

Mhhhh,

Hivi wewe DA una upako wa kusoma minds za watu??? Ume-copy na ku-paste kutoka kwenye libichwa la babu yako!!

Naamini MJ1 atakusoma vizuri,

Babu DC!!
 
Mnaweza mkawa friends,kwani mkirudiana kuna ubaya gani?hakuna kosa lisilosameheka.Kuna mwanamke aliedharirishwa Kama Mke wa DSK?forme IMF director.media za dunia nzima.
 
ikishafikia hatua ya kuachana ina maana kuna mambo hamwezi kuiva na hamwachani kwa siku moja kuna kuwa na mtiririko wa matukio kabla hawajatengana rasmi ..
  1. dharau
  2. kutokuaminiana
  3. kutokuwa na imani na mwenzako
  4. kiburi na majivuni
  5. hasira
  6. kushindana nani ni zaidi ya mwenzake
  7. etc
hizi ni mbegu hupandwa kwa muda wa mwisho kabla ya kutengana , kwa hiyo mkitengana kila mmoja atakuwa ameathiriwa na zile mbegu zilizopandwa dakika ya mwisho .. hivyo ni ngumu kualikana au kukaa pamoja kwa raha sana sana wahusika wakiwa waelewa watajuana au kukutana kwa suala la watoto tu napo itakuwa ni juu juu
 
Mhhhh,

Hivi wewe DA una upako wa kusoma minds za watu??? Ume-copy na ku-paste kutoka kwenye libichwa la babu yako!!

Naamini MJ1 atakusoma vizuri,

Babu DC!!

Babu DC habari yako binafsi,

Bwana wewe ukiona hivyo ujue nishang'atwa na nyoka nikiona jani naruka futi mia 9
 
ikishafikia hatua ya kuachana ina maana kuna mambo hamwezi kuiva na hamwachani kwa siku moja kuna kuwa na mtiririko wa matukio kabla hawajatengana rasmi ..
  1. dharau
  2. kutokuaminiana
  3. kutokuwa na imani na mwenzako
  4. kiburi na majivuni
  5. hasira
  6. kushindana nani ni zaidi ya mwenzake
  7. etc
hizi ni mbegu hupandwa kwa muda wa mwisho kabla ya kutengana , kwa hiyo mkitengana kila mmoja atakuwa ameathiriwa na zile mbegu zilizopandwa dakika ya mwisho .. hivyo ni ngumu kualikana au kukaa pamoja kwa raha sana sana wahusika wakiwa waelewa watajuana au kukutana kwa suala la watoto tu napo itakuwa ni juu juu

Bold na undeline well said aisee
 
Thanx darling! Na kweli hapa cheti kinatakiwa haraka ama sivyo maafa yanawezatokea lol. Hivi si kinapatikana hata kama upande mmoja haujaridhia?

...hii ni mada nyingine mamie, lakini nitakusaidia kujibu kwamba...ili uzisimamie haki zako pia kuepusha janga hili na mengineyo...cheti cha RITA kinahitajika iwapo umejiaminisha umefikia uamuzi wa mwisho kuhusu ndoa hii, na utausimamia uamuzi wako huo, for better or worse...

Kama mmeridhia wote wawili kuwa you cant be together anymore. But kama mmoja bado ana yale majigambo ya mie najua kuoa tu, kuacha sijui ilhali bado anafanya madudu, bado anaabuse halafu anakuja kujisafisha kwa ndugu kwa maneno na pretendencies kibao bedo kuna haja ya hiyo cordial relationship?? Huo ucivil unakuja vipi hapo??

Babu umeeleweka zaidi ya kueleweka Babu aksante sana kwa kulifafanua vizuri. Hii ni kweli kabisa na bila kupenda inaangukia kwenye kundi la kwanza and hapo pa kuwa vulnerable ndipo mmjukuu wako ninapojikinga napo. Yes tunakuita kutengana but unaona kabisa hakuna dalili ya kurudiana kwa upande mmoja wakati upande mwingine unatake things for granted eti once married, you are married. Ni upande mmoja tu unaoona hakuna future huko mbele wakati upande mwingine unaona kuwa hata hilo giza kwake ni haki yake. hautaki kukubali kuacha simply because anakomoa! So unakuta anakimbilia kujishow off kwa ndugu kuwa anakupenda sana basi tu ni wewe ndie unayelichakachua penzi lake tena mwanaume mzima akashtakie uwongo na machozi juu wakati kwako anaact wierdly.

Kusema ukweli babu hata sielewi natamani nikamate ndugu wanaomtetea nitandike viboko kwa sababu hawako tayari kuopen up macho yao waone the reality.

....mnh, mara nyingi nishazungumzia athari ya kufanywa msukule, bahati mbaya au nzuri....usukule unaweza kufanywa
directly au indirectly kama hivi...inategemeana na wewe mwenyewe unajikubalisha kuwa vulnerable kiasi gani...

...all in all, kuna haja hapo ku open up mbele ya kikao cha ndugu zako (wale muhimu) msimamo wako ili kuepusha majanga kama haya, maana kesho na kesho kutwa litakuja tokea jingine ambalo utajishtukia unabebeshwa lawama nyingine kwamba wewe ndio una kiburi, jeuri na madharau kwa mwenzio kumbe weye pekee ndio unaojua "kunguni wa kitanda chako"

...urafiki wa mashaka haukubaliki!
 
MJ1,

Kwanza salamu za asubuhi. Is it possible? Inategemea tena na vitu vingi. Hapa nitaongelea hata kwa wale ambao hawana watoto. Kwanza kabisa, how did you start the relationship before you decided to call it a day? As friends or was love at first sight? Nafikiri kama mlianza kama marafiki wa kawaida tuu (namaanisha urafiki wa muda mrefu), baadae mkaamua kuwa na uhusiano wa kimapenzi, it is possible to kurudi na kubakia kuwa marafiki wa kawaida kama mlivyokuwa mwanzoni. Lakini kama mlikutana na kuanza uhusiano wa kimapenzi straight awa it might be difficult to remain friends.

Pili, kama mlikuwa kwenye mahusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu sana let say 20 years, halafu mka-break up kuna possibility ya kuendelea kuwa marafiki (kama hawa hapa: Arnold Schwarzenegger & Maria Shriver Reunite For Dinner In LA -- Are They Reconciling?) tofauti na wale waliokaa pamoja kwa miaka miwili na kuachana.

Tatu, kama muda mrefu umeshapita tokea muachane, after you have both really moved on, you might be friends. Lakini kama mmeachana juzi juzi tuu, it might be a pain even to want to see his/her face depeniding on who caused the break up.

Nne, sababu ya kuachana nayo inachangia tena sana. There are some very traumatic break ups which might make it difficult to remain friends. And, if either of you have unresolved anger towards the other it might be extremely difficult to remain friends afterwards. Wakati huo huo, note there are some who want to be friends now for subconscious excuse to be around the other person so they can find closure on unresolved things. And the opposite is true, too. So, be aware of this.

Lakini, at the end of the day, kama kweli unataka ubakie kuwa rafiki na ex wako, it should only be because you like him as a friend. Nothing more. Inabidi iwe kwa sababu uko tayari to work at what might be a very hard friendship to solidify. Kilichokuvutia kwake in the first place, might probably still there.

However, be clear kuwa kuna tofauti kati ya working at a friendship with someone worth it, and the possibility that you are just avoiding the fact that you need to move on. Just like the idea that the reasons you liked this guy in the first place still exist, there's another list that still exists too. Odds are all the reasons he decided in the end that he does not want to be with this girl also still exist. He couldn't put up with her obsession with American Idol when he were dating her, can he deal with it as a friend?

So,kujibu swali lako, whether it is possible, inategemeana na mambo mengine wahusika wenyewe, how they started and ended the relationship, their true intentions, the aftermath of the break up, mazingira na mazagazaga mengine. Kama wanavyosema wanasheria, japokuwa kuna precedents ambazo zimewekwa ili kusaidia katika kutoa maamuzi kwenye kesi zinazofanana, every case should be decided based on its own facts and circumstances. Hiyo anger management course wala isikushinde as inaweza ikakukasadia pia usipate ban za ovyo ovyo hapa JF as Mods are tighting up their belts. LOL.
 
...hii ni mada nyingine mamie, lakini nitakusaidia kujibu kwamba...ili uzisimamie haki zako pia kuepusha janga hili na mengineyo...cheti cha RITA kinahitajika iwapo umejiaminisha umefikia uamuzi wa mwisho kuhusu ndoa hii, na utausimamia uamuzi wako huo, for better or worse...

....mnh, mara nyingi nishazungumzia athari ya kufanywa msukule, bahati mbaya au nzuri....usukule unaweza kufanywa
directly au indirectly kama hivi...inategemeana na wewe mwenyewe unajikubalisha kuwa vulnerable kiasi gani...

...all in all, kuna haja hapo ku open up mbele ya kikao cha ndugu zako (wale muhimu) msimamo wako ili kuepusha majanga kama haya, maana kesho na kesho kutwa litakuja tokea jingine ambalo utajishtukia unabebeshwa lawama nyingine kwamba wewe ndio una kiburi, jeuri na madharau kwa mwenzio kumbe weye pekee ndio unaojua "kunguni wa kitanda chako"
...urafiki wa mashaka haukubaliki!

Hiyo bluu inahusika sana Mbu you have said it all
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom