Is it CPU or MOBO?

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Msaada waatalam wa computer.Hivi majuzi desktop imegoma ku start kabisa,nilihisi tatizo ni PSU lakini baada ya uchunguzi nilibaina output voltages zote sawa.Nimetrace tatizo down to mobo au cpu.Fault kwenye mobo au cpu inasababisha ATX ku shutdown.Je ipo njia rahisi ya kujua ni kipi kati ya mobo na cpu ni kibovu?Note:sina spare mobo ya kuweza kutest cpu by swapping.
 
Kama unataka kutest Motherboard toa vitu vyote ambavyo vipo attached like..memories.. CPU and all other cables acha hiyo pin ya cable nyingi... kama board ni nzima ukiwasha itawaka na kutoa milio (beeps) mara nyingi pc kurestart momery pia huchangia jaribu kuwasha na memory moja au tofauti... kama board ni nzima
 
<br />
<br />
Thanks.Nitajaribu yote mawali umeme ukirudi.
 
Kama ni ATX natumai itakuwa ni motherboard ya muda kidogo. Na inawezekana kabisa kuwa kuna pahala umeset jumpers wewe mwenyewe, maana mobo mpya nyingi hazihitaji manual setting ya jumpers. Kama PC inawaka na kujizima ghafla, mara nyingi hiyo ni ishara ya setting za jumpers kuwa siyo sawa. Kama screen ina flash kabla ya kuzimika, ni ishara kuwa memory ziko okay, lakini kama screen haionekani kabisa, basi tatizo laweza kuwa katika memory iwapo vingine vyote viko sawa. Pia check kama kuna sehemu katika cables umegeuza, yaweza kuwa umechomeka jumpers pahala pasipo, au peripheral cables za cd drive or hdd zimegeuzwa. Kwa kumbumbukumbu zangu kwa ATX mobo, hilo tatizo laweza pia kutokana na ku-overclock au ku-underclock cpu kupita kiasi cha tolerable voltage.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom