Is Google Down?

muchetz

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
943
732
Niko na surf net hapa ghafla naona Google iko out, site zingine ni accessible. Kuna mtu mwingine ana experience tatizo na google?
 
dah jamani thread nyingine sasa zimezidi.. man kama unamiliki facebook account unaweza ukaweka hii status watu watakujibu haraka ...
 
hiyo mzee inawezekana kwenye pc yako ka vipi ungecheki connection yako..
 
somehow it is running low for this two days but it guess the network may the key factor.
 
Back
Top Bottom