Masilahi ya Iran ndani ya Lebanon ni yapi?
Kitendo cha kuonesha video ili kuamisha watu kuwa unatumika ni kucheza na saikolojia ya watu.
Wanamgambo wa Hezbollah hapo Lebanon ni miongoni mwa maslahi ya Iran.

Kwahiyo ndege kutua na kupaa katika airbase sio kutumika kwa airbase?
 
UNAWAPANGIA WATU JINSI YA KUJIBU?
UNADHANI IRAN ATAKURUPUKA KWENYE HII VITA WAKATI ANAJUA USA,GERMAN NA MASHOGA WENGINE WATAUNGANA KUTETEANA...WACHA MAKOBAZI WAPANGE MIKAKATI YA KUUTEKETEZA USHOGA KWA UMAKINI SIOKAMA UTAKAVYOWE SUBIRI SHOW SHOW ZA KIJIHAD
 
Mkuu Kamikaze drone bado hazijafika?

Kumbuka Israel bado hajarudisha shambulizi, kumbuka Iran haina Iron Dome Israel wakituma makombora 300 yote yanapiga Tehran
Ndivyo unavyojidanganya kwamba Iron dome ndiyo suluhisho la vyuma kutotua kwenye target?

Israel pamoja na iron dome lakini vyuma vimetua ndani ya ardhi yake sasa huoni teknolojia ya Iran ipo juu?

Iran ana mfumo tofauti wa anga sio lazima auite iron dome kwahiyo muajemi ni next level hata mashoga ya magharibi yanauelewa mziki wake.
 
Hiyo inaitwa target fall. Haiwezekani mwenzio akushambulie na aue majenerali wa ngazi za juu kbs arafu wewe ukalipe kisasi kwa kulipua majengo matupu😅 huo ni uoga!
Hapo ukumbuke Israel alipewa onyo la mapema akahamisha raia kuishi kwenye mahandaki na watu kuchukua tahadhari.

Vinginevyo leo hii maelfu ya Waisraeli wangeuawa vibaya kwenye mashambulizi.
 
Nipo katikati.
Kwa sababu hata Israel hajatoa uthibitisho wa kuonesha airbase inafanya kazi,badala yake karusha vid ya runway.
Nipo katikati.
Uko katikati kivipi wakati unajulikana ni shabiki wa ugaidi unaofanywa na Iran dhidi ya majirani zake?!
 
Nazungumzia wanajeshi wa Iran waliokuwa katika eneo la ubalozi wa Iran uliopo Damascus karibu na nchi ambayo imekuwa ikishambuliwa na wanamgambo wanaoratibiwa na Iran hiyohiyo.

Hapa sizungumzii ubalozi in general kama ubalozi mwingine wowote duniani.
Hivi wewe unafikiri kweli!?..kwa hiyo Iran asiwe na mahusiano na Syria!?..halafu wanamgambo gani Syria wameshambulia Israel zaidi ya Israel kuwazaidi ya Israel kuwatibu ISIS waliompiga Vita Assad!?..hivi cdf wa jwtz kwenda ubalozi wa tz kenye na kufanya kikao basi Rwanda ana haki ya kurusha makombora kwenye ubalozi!?
 
Marekani wamesihi Israel isijaribu kulipa kisasi kwasababu wakifanya hivyo mzozo utakuwa mkubwa mashariki ya kati.. natamani hii vita iishe maana kama kutatokea malipizi dhidi ya Iran huku Africa ndiyo waathirika wa kilakitu kwenye vita hii
Afrika ni bara la watu wapumbavu sana. Wizi wa viongozi na ubinafsi ndio unapelekea kuwa wategemezi. Hadi toothpick na vijiti vya mishikaki tunaagiza kutoka China.
 
99% ya makombora yameshushwa. Hakuna tofauti na makombora ya Iraq ya scard.
Yani NATO +USA wote wana wiki wakikuwa awalali wakilinda anga ya Israel.

Vita vya siku 7 ilikuwa ni chai ya moto sana.huu ndo ukweli wa mambo, ukipigana na Israel basi jua utakutana na kila rangi ya nchi
 
Hivi wewe unafikiri kweli!?..kwa hiyo Iran asiwe na mahusiano na Syria!?..halafu wanamgambo gani Syria wameshambulia Israel zaidi ya Israel kuwazaidi ya Israel kuwatibu ISIS waliompiga Vita Assad!?..hivi cdf wa jwtz kwenda ubalozi wa tz kenye na kufanya kikao basi Rwanda ana haki ya kurusha makombora kwenye ubalozi!?
Ulichokisema hakina utofauti na kilichosemwa na mdau mmoja post zilizopita. Mifano yenu kuhusu JWTZ haina uhalisia wa kile kinachoendelea Mashariki ya Kati.

Kama unataka Tanzania itajwe kwenye mfano wako, basi mfano wako ulipaswa kuwa hivi:

Endapo Tanzania ingekuwa inaratibu mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Congo [Brazzaville], halafu Tanzania ipeleke wanajeshi kwa mshirika wake D.R.C., ambaye naye ni adui wa Congo [Brazzaville], kisha wakafanye kikao kwenye ubalozi hapo Kinshasa karibu na mpaka wa Congo [Brazzaville] inayoshambuliwa mara kwa mara, unafikiri Congo [Brazzaville] ingechukua hatua gani?

Haya, na wewe uliza tena swali lako.
 
Ila Israel kaua majenelo 7 ambao ni supa kutoka vikosi tofauti vya iran
Aise wajinga waliaminishwa kwamba Israel ana nguvu za kijeshi hatari lakini tumeshuhudia wanamgambo wasio na silaha za kisasa HAMAS wanavyowanyoosha Mayahudi kila uchwao hadi wanarudisha wanajeshi nyuma.

So far zaidi ya wanajeshi 2000 wa Israel wameuawa Gaza na hiyo ni takwimu ya Israel wametoa. Kwa maana hiyo ni zaidi ya 4000 wameuawa.

Iran kapiga pale pale kwenye ardhi ya Mayahudi hadi yamebaki kushangaa kinachoendelea.
 
Iran ni dume la mbegu pale mashariki ya kati anampasua mtu ndani ya ardhi yake na ameonya kwamba Israel akijaribu kujibu kipigo basi atapewa dozi kamili maana hii alimegewa kiduchu tu.
 
Back
Top Bottom