Kifupi,nchi ya Israel ni military base ya marekani, uingereza na ufaransa kwa ajili ya kuidhibiti mashariki ya katiIsrael ni strategic ally wa Marekani pale Mashariki ya Kati, hivyo Marekani kuingilia kati kuisaidia Israel ni win-win strategically. Inachokifanya Marekani kwa ajili ya Israel kinaisaidia Marekani pia katika nyanja za kiintelijensia, kijeshi, kiuchumi na geopolitically kwa ujumla.
Kwahiyo, sio kwamba Israel isingeweza kujihami dhidi ya Iran ama adui mwingine bila ya usaidizi wa Marekani, bali ni beneficial zaidi kwa Marekani kuisaidia Israel kama namna bora zaidi ya kulinda maslahi yake ya msingi pale Mashariki ya Kati.