ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 4,548
- 11,738
Kwann Marekani haingie si Israel anajiweza Marekani wa nini tena?Maneno meeeengi, Israel tayari keshasukuma kete, zamu ya Iran.
Hajui apige wapi ili vita isije nchi kwake.....
Sana sana hatapiga ndani ya Israel maana Israel huwa halazi damu kabisa, kajipanga....
Kazi kwetu tujiandae kununua mafuta kwa 10000.
Maana hii vita lazima US ataingilia na akiingilia Homuz hapapitiki tena