IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

Aya jibu ni 19...unabisher

Kuna viatu pea 3 ambayo sawa sawa na 30

Ina maana kila pea ni sawa na 10

Aya sasa pea moja na midori miwili ni sawa na 20....but pea moja sawa sawa na 10 kwaiyo midori miwili ni sawa na 10...kila mdori moja ni sawa na tano...

Aya tuna endaa mdori na filimbi ni sawa na 13 but mdori moja ni sawa na 5 je filimbi ni sawa na ngapi jibu ni nane ila kila filimbi moja itakuwa sawa na nne

Twendee kwenye jibu sasa kama pea ya kiatu ni 10 mdori ni 5 na filimbi ni 4...apo jibu ni kumi na 9..(19)...

Toa jibu alafu uje na proof ya jibu lako... Maelezo ayo apo toa max
 
Ipo hivii kila pea ya viatu ina alama 10

Kila picha ya mtu pamoja na tai yake yenye alama ya filimbi ina thamani alama 5

Kila filimbi ina thamani ya alama 4

Kumbuka picha ya chini kabisa ukiiangalia kwa makini pekee ndio haina alama ya filimbi hvyo kama picha yenye tai filimbi ina thamani ya alama tano ina maanisha hiyo picha ya mtu isiyo na tai ya filimbi ina alama 1

Kwa maana hiyo basi jibu ni

10+1+4= 15 so jibu hapo ni 15

Hii hesabu haihitaji mlolongo mreefu wa mafomula kibao ni kitu kidogo kimejificha hapo angalia picha kwa makini utajua

Thanks
Angalia vizuri kuna kuzidisha hapo
 
Jibu ni 16.
10+(3×2)=
10+6= 16.√
>Pea ya viatu ina thamani 10
>Mtu na firimbi ana thamani 5
>Firimbi moja ina thaman ya 2
>Mtu asiye na firimbi anakuwa na thamani ya 3.
UKIJUMLISHA NA KUZIDISHA HAPO BILA SHAKA JIBU NI 16.
 
Hayo MAGAZIJUTO Mungu anayaona. Tangu la 5 hadi leo hii siyaelewi, na yamechangia mm kuichukia hisabati. Hivi mantiki yake ni kuwa unafanya hizo operation kwa mlingano wa hizo silabi au ni vipi mkuu?
Mantiki ya MAGAZIJUTO ni kuondoa utata katika hesabu kwa kufuata mtiririko sawa wa operation:

mfano;
1 + 2 X 5 = 15 ( ukianza kujumlisha halaf kuzidisha)
1 + 2 X 5 = 11( ukianza kuzidisha halaf kujumlisha)

ili kuondoa utata wa hesabu moja kuwa na majibu mawili tofauti ndio MAGAZIJUTO anafanya kazi yake, hiyo ni kama sheria ya hesabu kwamba lazima uzidishe kabla ya kujumlisha.
 
Back
Top Bottom