IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

Magazetini

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
588
1,698
4713-tanesco-logo.jpg PAP.png

KAMPUNI ya kufua umeme IPTL/PAP sasa imezidi kufahamika kuwa haina kesi au mgogoro wowote mahakamani baina yake na Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), imefahamika.

Hali hiyo imekuja wakati kukiwepo na habari katika mitandao na baadhi ya vyombo vya habari(isipokuwa gazeti hili) kuwa IPTL/PAP haikustahili kulipwa malipo ya ESCROW kwa kuwa kuna kesi mahakamani.
Taarifa zaidi zinaeleza kesi hiyo inadaiwa imefunguliwa na TANESCO kuhusiana na ukubwa wa gharama za uendeshaji ‘Capacity charge' unaofanywa na Kampuni ya IPTL.

Hata hivyo, taarifa zaidi kuhusiana na suala hilo, zinasema kwamba kesi hiyo ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara ICSID iliagiza IPTL ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.

Taarifa zilisema baada ya kumalizika kwa kesi hiyo, ndipo kukazuka mgogoro mwingine wa kimaslahi baina ya waliokuwa wabia wa IPTL, ambao ni Kampuni ya VIP na Mechmar ya nchini Malaysia uliopelekea VIP kuomba kampuni ifilisiwe na isilipwe hata thumni na TANESCO.

Kutokana na maombi hayo ya kampuni ya VIP, Mahakama Kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa na TANESCO kwa ajili ya huduma ya umeme inayotumia.

Katibu na Mwanasheria wa Kampuni ya IPTL, PAP, Joseph Makandege alisema hawana kesi na TANESCO na anashangazwa na taarifa zinazotolewa.

"Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,''alisema.

Aliongeza; "VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa,''.

Makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya Malaysia.

"Kesi kati ya Standard Chartered na IPTL/PAP haihusiani na TANESCO na wawaache TANESCO watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa Watanzania na tutapambana mahakamani,''alisema Makandege kwa kujiamini.

Hivyo, alisema wanaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.

CHANZO: Majira
 
Kampuni ya kufua umeme ya Independet Power Tanzania
Limited (IPTL) na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kama wakala
wa Escrow kuwa yalikuwa ni makubaliano ya kisheria.
Makubaliano hayo yalilenga kumaliza mgogoro wa kimaslahi
baina ya wabia, ambao ni Kampuni ya VIP na Mechmar
kutoka nchini Malaysia, ambapo VIP ilikuwa inamlalamikia
mbia mwenzake kuhusu thamani ya hisa zake.
 
Kumbe ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006, na VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa, Na kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya malaysia?sasa nadhani kitakuwa kimeeleweka kwa ufafanuzi huu,kazi kwenu sasa msioelewa.
 
Huunimwendelezo wa kuumbuka kwa KAFULILA. Katumbili kamerukia tawi lilooza, kanakurupuka na ajenda za kifisadi. Kama uhutaki ukweli huu nenda kajipendekeze mwenyewe iptl wakuhonge wewe umeme wa bure.

Tumia akili kufikiri na si tumbo!

Subiri Kikao cha Bunge utapata majibu kupitia taarifa ya CAG badala ya kubwabwaja na hawa waandishi makangaja wa baadhi ya magazeti ambao kwa mtumbo kwanza kuliko kazi husika ya kutoa taarifa iliyochambuliwa/utafiti.
 
“Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa
kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na
mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO
iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW
ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,’’alisema.
Aliongeza; “VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa
ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL
kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa
kukemewa,’’.
Makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa
ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na
benki ya Standard Chartered ya Hongkong
inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar
ya Malaysia.
“Kesi kati ya Standard Chartered na IPTL/PAP
haihusiani na TANESCO na wawaache TANESCO
watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu
wetu kwa Watanzania na tutapambana
mahakamani,’’alisema Makandege kwa kujiamini.
Hivyo, alisema wanaolalamika kwamba PAP/IPTL
imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa
ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda
waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika
la Umma.
 
Sasa hii ndiyo nini! Unadhani atasema nini????????

Acheni utamadumi wa kumeza kila kitu kiurahisi kiasi hicho,na mara nyingi kumbuka kauli Wajinga ndiyo waliwao!
 
Tumia akili kufikiri na si tumbo!

Subiri Kikao cha Bunge utapata majibu kupitia taarifa ya CAG badala ya kubwabwaja na hawa waandishi makangaja wa baadhi ya magazeti ambao kwa mtumbo kwanza kuliko kazi husika ya kutoa taarifa iliyochambuliwa/utafiti.
Kafulila jasho litamtoka mwaka huu! watu hawacheki na kenge ni kuumbua tu kwa kwenda mbele, ktumika kubaya sana ametumika bila kujua anajimaliza kisiasa kama ndg yake zzk
 
Tumia akili kufikiri na si tumbo!

Subiri Kikao cha Bunge utapata majibu kupitia taarifa ya CAG badala ya kubwabwaja na hawa waandishi makangaja wa baadhi ya magazeti ambao kwa mtumbo kwanza kuliko kazi husika ya kutoa taarifa iliyochambuliwa/utafiti.

Embu huko! usinipake tongotongo mie. Umekuwa kama jiwe uelezwe nini uelewe. mbwi mbwi mbwi mbwi!! toa uchafu wako.
 
Tumia akili kufikiri na si tumbo!

Subiri Kikao cha Bunge utapata majibu kupitia taarifa ya CAG badala ya kubwabwaja na hawa waandishi makangaja wa baadhi ya magazeti ambao kwa mtumbo kwanza kuliko kazi husika ya kutoa taarifa iliyochambuliwa/utafiti.

Mwambie KAFULILA akachonge tena sasa, mnapewa taarifa mnaikataa kwahoja nyepesi za kipuuzi kama hyo. Natusubiri ripoti za CAG/ IPTL , msije mkasema ripoti imechakachuliwa. Unatoa ubongo kichwani unaanza kubishana.
 
Sasa hii ndiyo nini! Unadhani atasema nini????????

Acheni utamadumi wa kumeza kila kitu kiurahisi kiasi hicho,na mara nyingi kumbuka kauli Wajinga ndiyo waliwao!

pole sana kijana kama ujaelewa,mwenzio kafulila anaelewa sana na anajua matokeo yake baadae nini zaidi ya kuumbuka na kushuka kisiasa,sasa hivi anaangaika kujinasua kwenye mtego huu wa mafisadi,mafisadi wamemuingiza kingi na yeye kaingia bila kujua matokeo yake baadae itakuaje.
 
Mkuu kafulila alijitakia mwenyewe kupenda kulamba lamba fedha za mafisadi akina mkono na rostam. wacha yamtokee puani

umeona eeh.....kazi kwake sasa,wakina mkono,rostam,mengi wamekaa pembeni wanamsikilizia maana wameishamwingiza kingi tayari sasa anajinasuaje huyo kafulila?kwavile amekubali mwenyewe kutumika basi ngoja atumike tu mpaka mwisho wa safari.
 
Ninyi mnatumiwa na nani?
Na mnatetea masilahi ya nani?

Wakuu tuwapuuze watu kama hawa wametumwa kututotoa kwenye mijadara na taarifa njema tunazo waletea watu makini wenye fikra elekevu. Kaanzisheni thread ianyohusu ID' s huko nje mtapata wapumbavu wenzenu wakuchangia. Nawewe umetumwa nanani, kwahyo tubaki tunaulizana hilo swali kwakuwa sikubaliani na fikra zako. KAFULILA anatumika naukweli unazidi kujitanabaisha.
 
who cares about id za watu jaman mbona tunakuwa mabongo lala asa baada muende moja kwa moja kwenye hoja nyie mnaenda kuangalia join date za watu huwo ni umbea na ukosefu wa hoja
Mkuu naona umekuwa mkaguzi wa ID za watu humu ndani au umekuwa mods
hacha umbulula lete hoja mezani hapa na kuhusu mtu kaingia lini au kajiunga lini sisi atusaidii kitu hapa
MP KALIX2
 
KAMPUNI ya kufua umeme IPTL/PAP sasa imezidi kufahamika kuwa haina kesi au mgogoro wowote mahakamani baina yake na Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), imefahamika.

Hali hiyo imekuja wakati kukiwepo na habari katika mitandao na baadhi ya vyombo vya habari(isipokuwa gazeti hili) kuwa IPTL/PAP haikustahili kulipwa malipo ya ESCROW kwa kuwa kuna kesi mahakamani.
Taarifa zaidi zinaeleza kesi hiyo inadaiwa imefunguliwa na TANESCO kuhusiana na ukubwa wa gharama za uendeshaji ‘Capacity charge' unaofanywa na Kampuni ya IPTL.

Hata hivyo, taarifa zaidi kuhusiana na suala hilo, zinasema kwamba kesi hiyo ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara ICSID iliagiza IPTL ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.

Taarifa zilisema baada ya kumalizika kwa kesi hiyo, ndipo kukazuka mgogoro mwingine wa kimaslahi baina ya waliokuwa wabia wa IPTL, ambao ni Kampuni ya VIP na Mechmar ya nchini Malaysia uliopelekea VIP kuomba kampuni ifilisiwe na isilipwe hata thumni na TANESCO.

Kutokana na maombi hayo ya kampuni ya VIP, Mahakama Kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa na TANESCO kwa ajili ya huduma ya umeme inayotumia.

Katibu na Mwanasheria wa Kampuni ya IPTL, PAP, Joseph Makandege alisema hawana kesi na TANESCO na anashangazwa na taarifa zinazotolewa.

"Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,''alisema.

Aliongeza; "VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa,''.

Makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya Malaysia.

"Kesi kati ya Standard Chartered na IPTL/PAP haihusiani na TANESCO na wawaache TANESCO watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa Watanzania na tutapambana mahakamani,''alisema Makandege kwa kujiamini.

Hivyo, alisema wanaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.

CHANZO: Majira
Kweli nimeamini mnafiki na mgombanishi huyu tumbuli anaanza kuumbuka taratibu
yan nini shidaaaa mbona ata koma jamaa
 
KAMPUNI ya kufua umeme IPTL/PAP sasa imezidi kufahamika kuwa haina kesi au mgogoro wowote mahakamani baina yake na Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), imefahamika.

Hali hiyo imekuja wakati kukiwepo na habari katika mitandao na baadhi ya vyombo vya habari(isipokuwa gazeti hili) kuwa IPTL/PAP haikustahili kulipwa malipo ya ESCROW kwa kuwa kuna kesi mahakamani.
Taarifa zaidi zinaeleza kesi hiyo inadaiwa imefunguliwa na TANESCO kuhusiana na ukubwa wa gharama za uendeshaji ‘Capacity charge’ unaofanywa na Kampuni ya IPTL.

Hata hivyo, taarifa zaidi kuhusiana na suala hilo, zinasema kwamba kesi hiyo ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara ICSID iliagiza IPTL ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.

Taarifa zilisema baada ya kumalizika kwa kesi hiyo, ndipo kukazuka mgogoro mwingine wa kimaslahi baina ya waliokuwa wabia wa IPTL, ambao ni Kampuni ya VIP na Mechmar ya nchini Malaysia uliopelekea VIP kuomba kampuni ifilisiwe na isilipwe hata thumni na TANESCO.

Kutokana na maombi hayo ya kampuni ya VIP, Mahakama Kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa na TANESCO kwa ajili ya huduma ya umeme inayotumia.

Katibu na Mwanasheria wa Kampuni ya IPTL, PAP, Joseph Makandege alisema hawana kesi na TANESCO na anashangazwa na taarifa zinazotolewa.

“Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,’’alisema.

Aliongeza; “VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa,’’.

Makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya Malaysia.

“Kesi kati ya Standard Chartered na IPTL/PAP haihusiani na TANESCO na wawaache TANESCO watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa Watanzania na tutapambana mahakamani,’’alisema Makandege kwa kujiamini.

Hivyo, alisema wanaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.

CHANZO: Majira

Asanteee
 
Back
Top Bottom