shadow recruit
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,844
- 383
Mkuu kafulila alijitakia mwenyewe kupenda kulamba lamba fedha za mafisadi akina mkono na rostam. wacha yamtokee puani
Daaah maskini kafulila
Mkuu kafulila alijitakia mwenyewe kupenda kulamba lamba fedha za mafisadi akina mkono na rostam. wacha yamtokee puani
Kweli nimeamini mnafiki na mgombanishi huyu tumbuli anaanza kuumbuka taratibu
yan nini shidaaaa mbona ata koma jamaa
Tumia akili kufikiri na si tumbo!
Subiri Kikao cha Bunge utapata majibu kupitia taarifa ya CAG badala ya kubwabwaja na hawa waandishi makangaja wa baadhi ya magazeti ambao kwa mtumbo kwanza kuliko kazi husika ya kutoa taarifa iliyochambuliwa/utafiti.
Kwani umeambiwa hatusubiri kikao cha bunge,aibu hii kwa wanafiki wote..wanaochafua kampuni za watu,shame on them
Tumia akili kufikiri na si tumbo!
Subiri Kikao cha Bunge utapata majibu kupitia taarifa ya CAG badala ya kubwabwaja na hawa waandishi makangaja wa baadhi ya magazeti ambao kwa mtumbo kwanza kuliko kazi husika ya kutoa taarifa iliyochambuliwa/utafiti.
jamaa vipi huyo kwan majibu tunasubiri kwenye jf ?mkuu wote tunasuri bungeKwani umeambiwa hatusubiri kikao cha bunge,aibu hii kwa wanafiki wote..wanaochafua kampuni za watu,shame on them
sasa anayetumika ni nani zaidi ya kafulila kwenye hili suala la iptl na escrow?muulize vizuri kafulila hizo hela alizopewa na mafisadi ni za kazi gani?kama siyo za kazi ya kuichafua wizara ya nishati na madili pamoja na watumishi wake?
Jamani mbavu zangu! Rejea maandishi nyekundu!
Yaani mnatoka povu mpaka mnajianika kiasi hicho!
Tafuteni mzani mzuri,kati yenu na Kafulila anayepiga Kelele kwa masilahi ya Umma na ninyi wateteszi wa Mafisadi!
hata hivyo naimani umeelewa tu nini namaanisha juu ya hilo,kafulila mwenzio chakua 90milion kutoka kwa hao mafisadi,wewe umechukua ngapi ndugu?
hata hivyo naimani umeelewa tu nini namaanisha juu yaJamani mbavu zangu! Rejea maandishi nyekundu!
Yaani mnatoka povu mpaka mnajianika kiasi hicho!
Tafuteni mzani mzuri,kati yenu na Kafulila anayepiga Kelele kwa masilahi ya Umma na ninyi wateteszi wa Mafisadi!
USISUMBUKE NA HAWA WAPO JF kwa kazi maalumu, hawashuguluki na uzi zaidi ya huu wao ni kafulila mwanzo mwisho ,utafikiri ni kafulila pekee aliyeongelea ilo swala wala usipoteze muda wako
wanaolalamika kwamba PAP/IPTLJamani mbavu zangu! Rejea maandishi nyekundu!
Yaani mnatoka povu mpaka mnajianika kiasi hicho!
Tafuteni mzani mzuri,kati yenu na Kafulila anayepiga Kelele kwa masilahi ya Umma na ninyi wateteszi wa Mafisadi!
hata hivyo naimani umeelewa tu nini namaanisha juu ya hilo,kafulila mwenzio chakua 90milion kutoka kwa hao mafisadi,wewe umechukua ngapi ndugu?
Kwani hao IPTL/PAP machizi? Pesa zote walizovuna Tanesco, kesi ya nini tena?
Mimi nampa Hongera yake kama kweli amepata mgawo ,maana amechukua kilichomstahili/Kodi ya wapiga kura wake !
Na ndiyo maana anaendelea na kuendeleza mapambano.Sasa sijui wewe mwajiri wa IPTL ,PAP au Wizara ya Madili maana ni wahusika wakuuu wa madili.
Haya bhana,lakini kumbuka mtu akikamatwa na kitu cha wizi na yeye ni mwizi,sasa kama kafulila amepewa hizo fedha za wizi ama zakifisadi basi na yeye ni mwizi ama fisadi kwa maana na yeye ameshiriki vitendo hivyo vihovu.
Kwa hiyo hamkuona mlango wa ofisi za Takukuru au !
Kafulila yeye kawatangazia kwa Umma na ameendelea kupiga kelele za mwiziiiiiiiiiiii yaani (PAP , IPTL na wizara ya Madili kuwa wamekwapua pesa za Umma!
lakini wewe na genge lako mko mbele kuwa ameumbuka na oh amechukua pesa !
Kumbe ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006, na VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa, Na kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya malaysia?sasa nadhani kitakuwa kimeeleweka kwa ufafanuzi huu,kazi kwenu sasa msioelewa.
soma tena, hivi unaelewa maana ya unchokiandika?