iPOD inafanyaje kazi?

KyelaBoy

JF-Expert Member
Nov 9, 2008
206
22
Naomba nieleweshwe jinsi Ipod inavyofanya kazi ,je nawezaje kuitumia kwenye Laptop yangu?na je ni ipi nzuri na ya ukubwa gani?nilisikia kipa wa Man U alitumia I pod kuangalia jinsi ya upigaji penalti wa timu pinzani,je picha kutoka kwenye Ipod naweza kuziangalia kwenye laptop na je naweza kuifanya kama USB/Flash na napenda kuangalia movie na muziki kwa sana kwa hiyo ningependa kuwa na I pod yenye kuchukua nafasi kubwa.
Asanteni
 
TEMBELEA [ame=http://www.google.com/search?hl=en&q=how+ipod+works&aq=f&oq=]how ipod works - Google Search[/ame] KWA MSAADA ZAIDI
 
Naomba nieleweshwe jinsi Ipod inavyofanya kazi ,je nawezaje kuitumia kwenye Laptop yangu?na je ni ipi nzuri na ya ukubwa gani?nilisikia kipa wa Man U alitumia I pod kuangalia jinsi ya upigaji penalti wa timu pinzani,je picha kutoka kwenye Ipod naweza kuziangalia kwenye laptop na je naweza kuifanya kama USB/Flash na napenda kuangalia movie na muziki kwa sana kwa hiyo ningependa kuwa na I pod yenye kuchukua nafasi kubwa.
Asanteni

Ushanunua ya wizi?
soma mannual acha uvivu....
 
Ipod nzuri ambayo unaweza kuitumia hata kuweka mafaili yako ni ile yenye GB 80 au zaidi,kama ni miziki ina uwezo wa kuhifadhi nyimbo zaidi ya 8000.
Kwa upande wa movie pia unaweza kuweka za kutosha,na kuhusu kuitumia kwenye laptop yako inawezekana kuitumia kwa kufungua mafaili yako uliyoyahifadhi kwenye Ipod yako.
Ili uweze kuitumia vizuri ipod yako ukiwa na Laptop au computer yoyote ni lazima computer yako iwe na itune ambayo itakusaidia kuweka au kubadilisha nyimbo au movie zilizoko kwenye ipod yako kwa maelezo zaidi tembelea website hii;Apple
 
Back
Top Bottom