Ipi Samsung nzuri zaidi katika Samsung Note Series?

Sasa wewe flagship ya 2018 ndo useme sio bora kulinganisha na hizo toys za A50?

You cant be serious!!
nakuwekea tena copy and paste unioneshe niliposema A 50 ni flagship

mimi simu nanunua kwa kuangalia mwaka iliyotoka .. hata ka bajet inanibana.. ni bora ninunue simu ya 2019 ya laki 6 au 7 kuliko kununua flagship ya mwaka 2018..

mwaka huu naenjoy A 50 sana. my friend ana s 8 ya mwaka jana sijui juzi.. anaona android yake haina ladha kama android iliyochanganywa na one ui ya mwaka huu 2019 kwenye A 50

wakati kiuhalisia a 50 ni cheap kuliko s 8
 
mkuu usiwe mbishi,hata ukichukua samsung s3,ukaiweka na hiyo a50 utagundua a50 ni quantity zaidi sio quality.

ila ni ya kisasa zaidi.naweza sema inakufaa zaidi wakati huu hiyo a50 kuliko s3,lakini kwa s8 hapana bado a50 ina mengi ya kujifunza.
 
Labda useme wewe mkuu, mtu hawezi akajifariji kwa midrange ya 2019 dhidi ya flagship ya 2018 au 17
mkuu usiwe mbishi,hata ukichukua samsung s3,ukaiweka na hiyo a50 utagundua a50 ni quantity zaidi sio quality.

ila ni ya kisasa zaidi.naweza sema inakufaa zaidi wakati huu hiyo a50 kuliko s3,lakini kwa s8 hapana bado a50 ina mengi ya kujifunza.
 
Kuuliza so ujinga hivi faida ya hayo ma flatship ni nini wewe ukiwa na samsung a50 na mwingine akawa na s8 tofauti ni nini mnajua mambo mengine ni ufahari wa kipuuzi usiokuwa na maana
 
Umewahi kutumia hizo flagship hadi ukaita ufahari wa kipuuzi? Hebu jaribu siku moja uonje utamu wake ndipo hutotaka kutumia hiyo takataka uliyonayo.

Nyumba ya bati na ya nyasi ni tofauti mkuu.
Kuuliza so ujinga hivi faida ya hayo ma flatship ni nini wewe ukiwa na samsung a50 na mwingine akawa na s8 tofauti ni nini mnajua mambo mengine ni ufahari wa kipuuzi usiokuwa na maana
 
Mimi na ki A30 changu tayar naru android 10 latest kabisa raha sana kununua simu ya toleo ambalo halijapita mda mrefu wakat akina s8 hazipati android 10 zinaishia pie mei mwendo mdundo wakat bei yake na yangu ni tofaut kabisaa ila mi napendelewa zaidi yao
Mzigo Note 9
Internal 128gb
Ram 6

Nabado tunasubir update android 10

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200226-205456_Settings.jpeg
 
mimi pia nitailaani Note 4 niliinunua mwaka 2016 Sh laki 7 nikakaa nayo miezi 6 tu ikafa. ilizimika yenyewe hata nilipoipeleka kwa fundi pale mwezi haikupona, pili ilikuwa ikichemka sana tofauti na s8+ ninayotumia sasa .hii s8+ naitumia ikiwa full chaji hadi 0 simu haina joto hata kidogo
nimeamua kubakia S series sitaki kabisa Note.

kingine chief mkwawa sioni haja ya kununua s9 au 9+ wakati specifications zinafanana na s8+ ninayotumia,tofauti yake ni kidogo sana,nikitoka hapa nitanunua s10
Note 4 ni msiba mwingine mkuu acha kabisaaaa
Yaan ipo chaji 30% mara paapu inarestart ikiwaka ipo 7%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nunua unayoimudu

ukiuliza ipi nzuri ntakwambia s10+ au s10e

maana ndio latest zenye features motoo

wewe nenda kanunue kitu yenye unaimudu.
Hizo kwa bajeti yake bado ghali ziko kwenye 1m+ labda s9 plus nayenyewe inacheza kwenye 950k

Samsung galaxy note 3 snapdragon
 
Mkuu tofaut kati ya Note series na S series ni ipi? maana nataka kuchukua Note 9 ama S9+ nipe elimu kuhusu hizo simu mbili za Samsung
S9 plus ndo ilianza kutoka mwaka huo huo ikafata note 9 samsung hutoa flagship mara mbili kwa mwaka inaanza s kisha note zote ni nzuri ila kuna tofauti ya features note hutumia spen ambayo ina fanya kazi nyingi hata kama ni mchoraji unaweza fanya kazi zako uka zi post hivyo ni wewe tu unapenda kufanyia nini ila ki u kweli hamna samsung mbaya.

Asante sana nilipata s9 plus ilikuwa bei nafuu kuliko note 9

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom