Ipi Samsung nzuri zaidi katika Samsung Note Series?

note 4 ni takataka. niliwahi kununua moja nikaapa kwamba sitawahi kurudia...
Mimi ninatumia Note edge mwaka wa pili iko poa hiii ninatumia japo ni refurbished lakini haijanisumbua nataka niuze nitafute isiyo refurbished.
 
Mkuu tofaut kat ya note series na s series ni ipi, maana nataka kuchukua note 9 ama s9+ nipe elimu kuhusu hizo simu mbili za Samsung
Kwa matumizi ya kawaida kuanzia Note 8 na S8 mpaka Note 10 na s10 ni sawa. Mara nyingi zinakuwa na processor moja, configuration za RAM na internal storage zinazofanana.

Utofauti unakuja hapa.
-Note zinakuwa kubwa upande wa display kuliko S
-Note zinakuwa na kalamu (stylus) unayotumia kuandika, kupigia picha, transision za powerpoint etc
-Note zinakuwa na productivity features nyingi kushinda S mfano built in dex.
 
mimi pia nitailaani Note 4 niliinunua mwaka 2016 Sh laki 7 nikakaa nayo miezi 6 tu ikafa. ilizimika yenyewe hata nilipoipeleka kwa fundi pale mwezi haikupona, pili ilikuwa ikichemka sana tofauti na s8+ ninayotumia sasa .hii s8+ naitumia ikiwa full chaji hadi 0 simu haina joto hata kidogo
nimeamua kubakia S series sitaki kabisa Note.

kingine chief mkwawa sioni haja ya kununua s9 au 9+ wakati specifications zinafanana na s8+ ninayotumia,tofauti yake ni kidogo sana,nikitoka hapa nitanunua s10
note 4 ni takataka. niliwahi kununua moja nikaapa kwamba sitawahi kurudia...
 
Tatizo la S8 inaishia pie...hutopata Android 10 ila utaendelea kupata security patches ila kama unataka ku update S10 is a big game changer ila kama kauwezo kapo ningekushauri usubiri S11 inatoka February 2020...utapata 120 refresh rate...108mp...telephoto camera brilliance zaidi ya huawei p30 pro n.k gibasisi,
 
mimi simu nanunua kwa kuangalia mwaka iliyotoka .. hata ka bajet inanibana.. ni bora ninunue simu ya 2019 ya laki 6 au 7 kuliko kununua flagship ya mwaka 2018..

mwaka huu naenjoy A 50 sana. my friend ana s 8 ya mwaka jana sijui juzi.. anaona android yake haina ladha kama android iliyochanganywa na one ui ya mwaka huu 2019 kwenye A 50

wakati kiuhalisia a 50 ni cheap kuliko s 8
 
Atakuwa haja update simu tu.
 
A50 sio flagship.... huwezi ilinganisha na S8
mimi simu nanunua kwa kuangalia mwaka iliyotoka .. hata ka bajet inanibana.. ni bora ninunue simu ya 2019 ya laki 6 au 7 kuliko kununua flagship ya mwaka 2018..

mwaka huu naenjoy A 50 sana. my friend ana s 8 ya mwaka jana sijui juzi.. anaona android yake haina ladha kama android iliyochanganywa na one ui ya mwaka huu 2019 kwenye A 50

wakati kiuhalisia a 50 ni cheap kuliko s 8
 
Soma bandiko lako mkuu

nakuwekea tena copy and paste unioneshe niliposema A 50 ni flagship

Back
Top Bottom