Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Kwa mnaosifia oppo na ndugu yake Vivo sifa zao ni hizi

1. WanaTangaza simu nzuri yenye specs kali kwenye media then wanazo hype zijulikane
2. Simu kali zinakuwa na availability ndogo na ngumu kupatikana
3. Then wanatengeneza simu mbovu nyingi za mediatek za ovyo kama p22 wanazijaza kibao mitaaani.
4. Wajinga waliwao, kwa kutumia hypes za point ya kwanza wa nanunua simu za point ya 3.

Usinunue simu kwa kuangalia brand tu bila kujiridhisha specs zake. Nenda China Plazza zimejaa kibao oppo na Vivo Ila 90% ni vimeo ukijichanganya tu una p22 kwa laki 4 ama 5.
Hivi chief kuna hii simu ambayo imetoka hivi karibun inaitwa Oppo reno 5 5g unaionaje?
 
Ina maana huu mzigo ni wa moto sasa mbona bei ya kuuzwa ni nyepesi au nini kipo down mpaka ikauzwa bei iyo? Izi simu nilikua nazizarau kumbe ni hot
 
Attachments

  • Screenshot_20210227-134306.jpg
    Screenshot_20210227-134306.jpg
    105.8 KB · Views: 2
Hivi chief kuna hii simu ambayo imetoka hivi karibun inaitwa Oppo reno 5 5g unaionaje?
Ni upper midrange, simu nzuri sema kama una budget hio vyema subiria kidogo, simu za sd 870 zinaanza kutoka, kwa price around $300, unapata flagship processor ya ukweli.
 
Ina maana huu mzigo ni wa moto sasa mbona bei ya kuuzwa ni nyepesi au nini kipo down mpaka ikauzwa bei iyo? Izi simu nilikua nazizarau kumbe ni hot
Kwa redmi (ambazo sio note) redmi 9 series Ndio nzuri, bei humo humo na ina specs kali zaidi.
 
Samahani nje ya mada kidogo chief mkwawa Hivi Airtel wanavyotangaza kua wana super 4G ni kuna kitu wameboresha sana zaidi ya mitandao mingine kwao au its just a promotion mkuu?
 
Samahani nje ya mada kidogo chief mkwawa Hivi Airtel wanavyotangaza kua wana super 4G ni kuna kitu wameboresha sana zaidi ya mitandao mingine kwao au its just a promotion mkuu?
situmii Airtel mkuu, ila inawezekana wamelaunch lte advance,

kipindi wanalaunch hspa+ walikuwa waki advertise kama 3.75G
 
situmii Airtel mkuu, ila inawezekana wamelaunch lte advance,

kipindi wanalaunch hspa+ walikuwa waki advertise kama 3.75G
Kweli inawezekana nimewakumbuka enzi hizo za 3.75g na nokia symbian yangu wanakatabia ka kuchelewa kulaunch product then wanaipromote kama ni kitu kipya kumbe wenzao washakitoa zamani tena kimya kimya.
 
Hakika chief xiaomi sio wa kawaida kabisa mzee, hapa kwa sasa nina simu zao mbili tv yao, saa yao ile haylou solar l05 jana nimepokea bag yangu ya xiaomi ndio balaa kabisa, nimeplace oda ya vitu vyao vingine kifupi wanajua, siku ya kwanza tu kushika product yao mika ile nikajikuta naanzisha uzi wa xiaom kabisa kaka
Nilianza na note 5A, Now npo na note 8 hapa , Kwa mbali naifukuzia MI10...
 
nimependa hii discussion, natumia note 9 samsung mwaka sasa , nimekua mtumiaji wa samsung kwa mda mrefu na huawei, nahitaji kwenda iphone 11 au 12, mnaonaje hizi simu, hii note 9 kwa sasa naweza uza bei gani kama used
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom