Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,443
- 28,036
Asante..
Note 8 ishapata update zake zote now haina update yoyote maybe uchukue note 9 kuendeleaAsante..
Note 8 ishapata update zake zote now haina update yoyote maybe uchukue note 9 kuendelea
Sijui ila gugo tu mzeeNote 9 bei inarange ngapi!!?
Sijui ila gugo tu mzee
Hivi chief kuna hii simu ambayo imetoka hivi karibun inaitwa Oppo reno 5 5g unaionaje?Kwa mnaosifia oppo na ndugu yake Vivo sifa zao ni hizi
1. WanaTangaza simu nzuri yenye specs kali kwenye media then wanazo hype zijulikane
2. Simu kali zinakuwa na availability ndogo na ngumu kupatikana
3. Then wanatengeneza simu mbovu nyingi za mediatek za ovyo kama p22 wanazijaza kibao mitaaani.
4. Wajinga waliwao, kwa kutumia hypes za point ya kwanza wa nanunua simu za point ya 3.
Usinunue simu kwa kuangalia brand tu bila kujiridhisha specs zake. Nenda China Plazza zimejaa kibao oppo na Vivo Ila 90% ni vimeo ukijichanganya tu una p22 kwa laki 4 ama 5.
Ni upper midrange, simu nzuri sema kama una budget hio vyema subiria kidogo, simu za sd 870 zinaanza kutoka, kwa price around $300, unapata flagship processor ya ukweli.Hivi chief kuna hii simu ambayo imetoka hivi karibun inaitwa Oppo reno 5 5g unaionaje?
Kwa redmi (ambazo sio note) redmi 9 series Ndio nzuri, bei humo humo na ina specs kali zaidi.Ina maana huu mzigo ni wa moto sasa mbona bei ya kuuzwa ni nyepesi au nini kipo down mpaka ikauzwa bei iyo? Izi simu nilikua nazizarau kumbe ni hot
Hizi za sd 870 ndio zip chief... Umeniacha kidogoNi upper midrange, simu nzuri sema kama una budget hio vyema subiria kidogo, simu za sd 870 zinaanza kutoka, kwa price around $300, unapata flagship processor ya ukweli.
Hizi ni specifications za Oppo reno 5 5G, unaionajeHizi za sd 870 ndio zip chief... Umeniacha kidogo
So far kunaHizi za sd 870 ndio zip chief... Umeniacha kidogo
Poa ngoja nisubilieSo far kuna
-xiaomi redmi k40
-Motorola edge S
Pia brand nyengine zinakuja muda si mrefu.
Hio Reno ina snapdragon 765G, hii snapdragon 870 ni nzuri zaidi kila idara.
situmii Airtel mkuu, ila inawezekana wamelaunch lte advance,Samahani nje ya mada kidogo chief mkwawa Hivi Airtel wanavyotangaza kua wana super 4G ni kuna kitu wameboresha sana zaidi ya mitandao mingine kwao au its just a promotion mkuu?
Kweli inawezekana nimewakumbuka enzi hizo za 3.75g na nokia symbian yangu wanakatabia ka kuchelewa kulaunch product then wanaipromote kama ni kitu kipya kumbe wenzao washakitoa zamani tena kimya kimya.situmii Airtel mkuu, ila inawezekana wamelaunch lte advance,
kipindi wanalaunch hspa+ walikuwa waki advertise kama 3.75G
Nilianza na note 5A, Now npo na note 8 hapa , Kwa mbali naifukuzia MI10...Hakika chief xiaomi sio wa kawaida kabisa mzee, hapa kwa sasa nina simu zao mbili tv yao, saa yao ile haylou solar l05 jana nimepokea bag yangu ya xiaomi ndio balaa kabisa, nimeplace oda ya vitu vyao vingine kifupi wanajua, siku ya kwanza tu kushika product yao mika ile nikajikuta naanzisha uzi wa xiaom kabisa kaka
Hahaaa nilianza na note 4Nilianza na note 5A, Now npo na note 8 hapa , Kwa mbali naifukuzia MI10...