Ipi ni biashara ya ndoto yako?

Kiongozi;

Kampuni zipo aina tofauti. Ni vema ujue aina ya kampuni- hii inategemea mtaji wako, garama utakayotumia na watu wangapi mnashirikiana.

Baada ya hapo unaangalia vigezo vinavyohitajika mfano. Vitambulisho; anuani; eneo na anuani zake; n.k.
.HIZO AINA ZA KAMPUNI NDO ZIPI
 
Kiongozi;

Kampuni zipo aina tofauti. Ni vema ujue aina ya kampuni- hii inategemea mtaji wako, garama utakayotumia na watu wangapi mnashirikiana.

Baada ya hapo unaangalia vigezo vinavyohitajika mfano. Vitambulisho; anuani; eneo na anuani zake; n.k.
Kwenye kuandaa tenda sijakuelewa mkuu.unaweza nipa maelezo kidogo
 
Kuwa mkulima na mfugaji wa kisasa target yangu ni kumiliki angalau ng'ombe wa maziwa 1000 na wa nyama 500
Pia mazao ya bustani na yasiyo ya bustani kwa kifupi niwe na shamba angalau heka 200

Ee mwenyezi Mungu nisaidie
Ameen!
 
Kuna baadhi ya watu wanafanya biashara lakini biashara wanazozifanya si biashara za ndoto zao pengine labda msingi hautoshi au mazingira hayaruhusu kufanya biashara ambayo yeye anaifikiria kuifanya.

Sasa wewe ipi ni biashara ya ndoto yako na kwa nini unashindwa kuitekeleza mpaka sasa?
1599730294401.png
 
Nataka kuwa mkulima na kuuza mazao,ila changamoto ni mtaji,lakini hiyo ndio ndoto yangu,nazama maporini nalima,nikivuna tunakutana mjini...
 
Toka awamu ya tano wafute CITES..biashara niliyokuwa naifanya wameuuwa ndoto zangu..mpaka leo napokea emails za wateja wangu na wengine wamenishauri niende Uganda aarrrggg huyu Magu katulaza na viatu
 
Kuna baadhi ya watu wanafanya biashara lakini biashara wanazozifanya si biashara za ndoto zao pengine labda msingi hautoshi au mazingira hayaruhusu kufanya biashara ambayo yeye anaifikiria kuifanya.

Sasa wewe ipi ni biashara ya ndoto yako na kwa nini unashindwa kuitekeleza mpaka sasa?
Kuwa na studios za kutengeneza vipindi vya TV na kufanya documentaries na mahojiano kwa kuniaba ya vyombo vikubwa vya habari vya nje ambavyo vinaona ni gharama kuja kufanya hivyo Africa, wanaamua ku outsource.
 
CCM watakufanyia figusu nzito mnooooooo.

Na ukisema uandae vipindi vya aina ya mapambio ya media za kibongo, havitapata soko.
Hapana ni vipindi visivyo na siasa, ni kama documentaries, kuwahoji watu kwaniaba ya....
Kenya kuna studios za kufanya hivyo na ni ela nyingi wanalipwa
 
CCM hawahitaji kuwa viwe na siasa ili upate figusu.

Sheria ya Drones ushaiona, au unahisi wewe haitakuhusu.
Mkuu, yah na kuanzia tarehe mbili mpaka 26 nitakuwa nashoot ndiyo ninaomba vibari.
 
Back
Top Bottom