Ipi ni biashara ya ndoto yako?

Construction company
Screenshot_20200927-080143.jpg
 
Biashara ya ndoto yangu ni kuwa na kiwanda cha mikate means Bekary pia nimejifunza mambo mengi kwakusoma na kwavitendo pia now nipo vizuri kuanzia jikoni mpaka kwenye management na masoko pia nafaham production gani inatakiwa tena kwakiwango gani pia sijaangalia nimuuzie nani nimelenga kila mwananchi apate huduma kutokana na kipato chache
(jumakiuno93@gmail.co)
FB_IMG_16192764073629426.jpg
FB_IMG_16192765182319106.jpg
FB_IMG_16192762698425441.jpg
FB_IMG_16192763619167164.jpg
 
Biashara ya ndoto yangu ni kuwa na kiwanda cha mikate means Bekary pia nimejifunza mambo mengi kwakusoma na kwavitendo pia now nipo vizuri kuanzia jikoni mpaka kwenye management na masoko pia nafaham production gani inatakiwa tena kwakiwango gani pia sijaangalia nimuuzie nani nimelenga kila mwananchi apate huduma kutokana na kipato chache
(jumakiuno93@gmail.co)View attachment 1766422View attachment 1766429View attachment 1766430View attachment 1766431
Attractive...soko lako liko wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom