BALE ina chance kubwa ya kupata ajira bank kwenye kitengo cha Fraud and Investigations au Police.... ila naaona wengi wanapata kazi bank..!! Nakushauri soma BALEIpu ni course nzuri ya kusomea Sheria kati ya "Bachelor of Laws" na "Bachelor of Law Enforcement?"
Nitashukuru kama utaniambia ipi inajikita na Nini haswa .
Na ipi ni rahisi kujiajiri / kuajiriwa.
Asome LLB itamsaidia zaidi maana ina opportunities compared to BALE. BALE ni nzuri kwa in-service wa mambo ya ulinzi na usalama.BALE ina chance kubwa ya kupata ajira bank kwenye kitengo cha Fraud and Investigations au Police.... ila naaona wengi wanapata kazi bank..!! Nakushauri soma BALE
Zote nzuri tu ukijichanganya kwenye siasa piaIpu ni course nzuri ya kusomea Sheria kati ya "Bachelor of Laws" na "Bachelor of Law Enforcement?"
Nitashukuru kama utaniambia ipi inajikita na Nini haswa .
Na ipi ni rahisi kujiajiri / kuajiriwa.
LLB kibao wapo mtaani wanapambana lakini BALE wengi wapo kwenye ajira... kwanza ni course inayochukua watu wachache na opportunities ni nyingi zaidi kwenye banking industry na sehemu zingine..!! Kwa mimi namshauri asome BALE hatokaa mtaani, speaking from experienceAsome LLB itamsaidia zaidi maana ina opportunities compared to BALE. BALE ni nzuri kwa in-service wa mambo ya ulinzi na usalama.
Pia mtu wa LLB anaweza fanya kazi zote za wale wa BALE lkn mtu wa BALE hana sifa ya kufanya baadhi ya mambo ya mtu wa LLB.
Kwani BALE hapa Tanzania imeanza kutolewa lini mkuuLLB kibao wapo mtaani wanapambana lakini BALE wengi wapo kwenye ajira... kwanza ni course inayochukua watu wachache na opportunities ni nyingi zaidi kwenye banking industry na sehemu zingine..!! Kwa mimi namshauri asome BALE hatokaa mtaani, speaking from experience