Ipi Bora kati ya hizi tatu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Wakuu JF Nawauiiza Swali ipi ni bora kati ya hizi Tatu WINDOWS XP WINDOWS VISTA na WINDOWS 7? Na kwanini imekuwa Bora zaidi ya nyingine? Towa ufafanuzi tafadhali.
 
nimeshawahi kutumia vista na xp, kwa mtazamo wangu xp iko bomba klk vista...ina-load haraka, haisuimbui sana kama vista inagoma goma ukiweka baadhi ya software, vista inachelewa kuload, vista ina security settings nyingi sana, vista inachukua nafasi kuliko xp, so for me xp iko juu...
 
Xp na Vista nimezitumia ila 7 bado,Ila kwa nilizozitumia XP is better than vista iko faster.
Vista inaboa too slow has unapokuwa na files nyingi ata kama una space kubwa kama mimi nina 250gb kwa HDD nimetumia almost robo bado iko slow nina mpango wa kuipiga chini na kurudi XP
 
Kwa fikra za haraka teknologia ni ''evolution'', nina maana kwamba ya nyuma ndiyo inapelekea ya mbele kutokea. Hivyo vista ilitengenezwa kukabiliana na mapungufu ya XP, hivyo XP haiwezi kuwa bora kuliko Vista. Vilevile Window7 imetolewa kukabiliana na mapungufu ya Window Vista.
Hivyo mtu anayekushauri kutumia Xp ni sawa na anakurudisha nyuma, siyo muda mrefu software nyingi zitatolewa kwa ajili ya Window7 sasa sijui wewe wa Xp utafanya nini na Computer yako. Unless kwa matumizi ya nyumbani tena kwa nchi kama yetu ya Bongo.
 
Windows 7 bora kuliko zote. Vista inahitaji uwe na CPU yenye nguvu na RAM ya kumwaga na hardware (drivers) ziwe compatible kama vitu hivyo unavyo ni bora kuliko XP, kama una computer ya zamani basi XP itakufaa.
 
Msiweke MAFAILI MAKUBWA kwenye DESKTOP. Haya hufanya Window yoyote iwe slow. Pia inategemea unatumia Anti-virus ya aina gani. Kuna mengine yanakaguwa kila kitu unachofanya. Mjitahidi kuwa na RAM za kutosha na Grafic card nzuri.......
 
Windows 7 is the best, hii imecombine uzuri wa XP na Vista. For me Vista was better than XP
 
nimatumaini yangu window 7 ni bora zaidi kwani imebeba mazaifu na mapungufu yote ya xp na vista na ipokompatible na drivers nyingi zaidi
 
nimeshawahi kutumia vista na xp, kwa mtazamo wangu xp iko bomba klk vista...ina-load haraka, haisuimbui sana kama vista inagoma goma ukiweka baadhi ya software, vista inachelewa kuload, vista ina security settings nyingi sana, vista inachukua nafasi kuliko xp, so for me xp iko juu...

Mkuu sio kwamba inagoma, ila ukiwa na VISTA ni kama umejiwekea gereza dogo mwenyewe, ni kwamba VISTA haikubali program yoyote ambayo haiko microsoft registred!
 
Windows 7 bora kuliko zote. Vista inahitaji uwe na CPU yenye nguvu na RAM ya kumwaga na hardware (drivers) ziwe compatible kama vitu hivyo unavyo ni bora kuliko XP, kama una computer ya zamani basi XP itakufaa.
Uko sawa mkuu,windows 7 ipo poa kuliko zote,inaload drivers karibu zote,ipo poa sana then xp follows!!
 
Kwa fikra za haraka teknologia ni ''evolution'', nina maana kwamba ya nyuma ndiyo inapelekea ya mbele kutokea. Hivyo vista ilitengenezwa kukabiliana na mapungufu ya XP, hivyo XP haiwezi kuwa bora kuliko Vista. Vilevile Window7 imetolewa kukabiliana na mapungufu ya Window Vista.
Hivyo mtu anayekushauri kutumia Xp ni sawa na anakurudisha nyuma, siyo muda mrefu software nyingi zitatolewa kwa ajili ya Window7 sasa sijui wewe wa Xp utafanya nini na Computer yako. Unless kwa matumizi ya nyumbani tena kwa nchi kama yetu ya Bongo.
Huo ni uelewa wako tuu,but xp is better than vista,like it or not!!
 
huo ni uelewa wako tuu,but xp is better than vista,like it or not!!
nakubaliana nawe kwa 100%
inategemea na matumizi ya pc jamani, kuna watu wengine wao pc wanasikilizia music na kutazama movies!!.
To me talking about development/programming windows xp is the right choice.
 
Sijawahi kutumia Window 7 but XP ni bora kuliko Vista

Mzee Belo, nami kama wewe. Nachoelewa mie ni kwamba Windows XP ni nzuri sana. Microsoft walitoa Windows Vista kwa kutegemea iwe bora kuliko XP, lakini hawakufanikiwa! Vista imetokea kuwa na mapungufu mengi! Na hivyo XP ikabaki nzuri kuliko Vista. Microsoft kwa kuliona hilo wakaamua kutoa Windows 7. Sijaitumia Win 7 lakini nimesoma independent reviews nyingi na kuona wanaipa hi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom