Iphone 4s inanikosesha raha.

Liwolo

Member
Apr 11, 2011
13
2
jaman nashindwa kuunganisha net nimeenda had ofisi za makampun ya cm hapa MORO tatizo limeshindikana,nilijalibu kuhamisha vtu toka kwenye pc vinaingia kama file mfano miziki,inaonesha free space ktk phone memory ni 64gb lkn ukichomeka kwa pc inaonesha 4gb.nni uvumbuz wa hayo yote?
 
Mkuu kwa maelezo yako ya awali pasi na shaka huyo ni mchina pure

Nakushauri fanya utatifi, simu unayo fanya kugoogle jinsi ya kutambua iphone fake na halisi

Tembelea sredi hii upate mwanga www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/378080-nitatambuaje-iphone-fake-au-originals.html#post7805987
 
jaman nashindwa kuunganisha net nimeenda had ofisi za makampun ya cm hapa MORO tatizo limeshindikana,nilijalibu kuhamisha vtu toka kwenye pc vinaingia kama file mfano miziki,inaonesha free space ktk phone memory ni 64gb lkn ukichomeka kwa pc inaonesha 4gb.nni uvumbuz wa hayo yote?

Daah huyo ni mjomba kabisa wala ucihangaike
 
Pole. Kutokana na maelezo yako simu uliyonayo ni moja kati ya siku bandia zenye jina hilo zilizozagaa na zinazotoka China. Mimi ni mmiliki wa iPhone 4s na nimejaribu kufanya utafiti binafsi wa hizo simu fake na niligundua tofauti za msingi kwa harakaharaka kama ifuatavyo:-
I. iPhone original zinatumia laini ndogo zilizokatwa wakati zile feki zinatumia laini kubwa za kawaida.
ii. iphone original zinachukua muda mrefu kidogo kuwaka wakati zile feki hujiwasha haraka.
iii. iPhone original hazijaandikwa kwa nje ukubwa wa GB zake ambazo kwa kawaida ni 16 na 32, wakati zile feki zinajinadi eti ni 64GB. iPhone original ukigungua kwenye setting ndiyo utakuta idadi ya GBs zake namba ya siku yako na mambo kama hotspot.
Tena kama ukiwa mzoefu hata kwa kuishika tu utaihisi ile feki ukitaka kufungua ukurasa wowote wa mtandao iPhone bandia itachacharika weee mwisho itakwambia "The file is too large" !
 
jaman nashindwa kuunganisha net nimeenda had ofisi za makampun ya cm hapa MORO tatizo limeshindikana,nilijalibu kuhamisha vtu toka kwenye pc vinaingia kama file mfano miziki,inaonesha free space ktk phone memory ni 64gb lkn ukichomeka kwa pc inaonesha 4gb.nni uvumbuz wa hayo yote?
hiyo ni clone! hata ukifanikiwa hizo settings za internet utakuwa unatumia internet kwa shida sana. original iphones maranyingi hazihitaji settings ni kuchomeka line yenye bundle au vocha na kutumia, otherwise kwenye apn ukiandika 'internet' basi umemaliza swala la settings. hiyo capacity ya 64GB umeona wapi? nyuma ya cover au ndani kwenye settings? kama kwenye cover la nyuma basi hiyo ni fake sababu original 4,4s,5,5s na 5c haziandikwi capacity kwa nyuma. na huwezi kuweka mziki kwenye iphone bila kupitia itunes au 3rd party supported softawares kwasababu iphone hazina inbuilt file manager so lazima kila kitu kiingie kwa itunes ili kiwe organised,,
 
Ki kwetu tunasema kwishiney habari yake!!!! Hawa watu wenye macho madogo ni noma. Nashangaa tunawachekea kwenye kumaliza tembo wetu ingekuwa ndio we mtz wanakukamata kule kwao!
 
Back
Top Bottom