iPhone 3Gs inauzwa Tsh. 450,000/-

Nauza iPhone 3G's iko kwenye hali nzuri nimeitumia miezi mitatu tu.

Anayetaka anipm tufanye biashara.
mkuu niko Interested kuinunua lakini nataka kujua kwanza kama Ipo unlocked na ni unlock gani maana hiyo Baseband ya simu 05.16.02 sio unlockable, au kama ni Factory Unlocked kama ulivyoulizwa hapo juu....

fupda1.jpg
b4xn2u.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom