Ipe maneno picha yangu ya zamani

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
18,656
13,481
394225_227181194077793_428967895_n.jpg
 
halafu ukiniona nilivyo leo hata hiyo picha naweza kuikana kuwa siyo yangu!!!
 
Huyo mtoto anatia huruma wallah

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sio swala la nini hapo ni swala la umaskini
Alipaswa awe shule au alipaswa awe kwenye mazingira masafi ila maisha yamempiga chenga angali mdogo
Shule hataijua wala hatajua maji ya kuoga na kuwa msafi yatapatikana wapi
 
Nikiitazama hii picha napata mengi sana ya kuandika kuhusu huyo mtoto ila yote ni ya mashaka tu. I just hope amepata/atapata maisha mazuri ukubwani mwake.
 
Nikiitazama hii picha napata mengi sana ya kuandika kuhusu huyo mtoto ila yote ni ya mashaka tu. I just hope amepata/atapata maisha mazuri ukubwani mwake.
mwaJ future yake inaanzia hapa
hapo atakuwa anajiuliza maswali mengi sana na hajui mustakabali wa hayo ni upi wala hajui maisha yake yatakuwaje
yaani ungepata nafasi ya kujua anachowaza huyo mtoto ni balaa
 
Last edited by a moderator:
Dogo anawaza akirejea nyumbani atakavyokumbana na kichapo cha Mama wa kambo.

394225_227181194077793_428967895_n.jpg
 
mwaJ future yake inaanzia hapa
hapo atakuwa anajiuliza maswali mengi sana na hajui mustakabali wa hayo ni upi wala hajui maisha yake yatakuwaje
yaani ungepata nafasi ya kujua anachowaza huyo mtoto ni balaa

Siku zote Mungu ni mwema sana Mr Rocky mtoto anaweza kukulia kwenye mazingira magumu haswa, lakini baada ya miaka kadhaaa ukaja kukuta ndiye mtu mwenye mafanikio makubwa kupita hata wale waliokuwa na maisha mazuri au ya ahueni.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom